Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Hiyo nchi inahitaji kukombolewa.
Nani wa kuiokomboa wakati wananchi wote waliopo huko ni mateka wa watawala??
Hivi sisi wa-Tanzania tunaweza kuwa na uthubutu wa kuwacheka hao wananchi wa huko Korea ya Kaskazini?
Sisi wa-Tanzania na hao watu wa Korea ya Kaskazini Wala hatuwezi kuchekana, kwa sababu sisi wote tupo kwenye boti Moja.
 
STORY KUHUSU KOREA KASKAZIN NI ZA KUTENGENEZWA(UONGO)

ZIPUUZWE!


Sababu hizo story hutengenezwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi kama USA ili kuichafua Kwa sababu ni threat kwao na haitaki kwendana na sera zao.

Na ikumbukwe ndiyo nchi ambayo USA iliitangazia dunia kuwa inapaswa kutengwa ktk uso wa dunia.

Korea kaskazin ni Moja ya nchi stable kiuchumi na hata ktk science na technology hakuna nchi yoyote ya Africa hata baadhi ya nchi za Latin America ambazo unaweza kufananisha na Korea kaskazin.

Nchi ya Korea kaskazin ni Moja ya nchi yenye nishati nyingi za kuzalisha umeme ikwemo nyuklia Sasa nashangazwa na story za uhaba wa umeme wakat Wana nyuklia ya kutosha😳
 
Je, una uhakika kwamba hauugui kichaa??
 
cent
 
...-Ni nchi ambayo Rais wao huvaa suruali pana miguuni mithili ya sketi na haina shida.A mere joke!
 
Lakini cha kuongezea Korea Kaskazini na Korea kusini ni watu wamoja kabisa tofauti ni mipaka tu ila kuna tofauti ambayo imetokea lakini si ya asili hususani upande wa wanawake mathalani wanaume kiasi,

Huu upande wa Koria kusini wanafanya sana surgery za kubadilisha uso sijui kupunguza mashavu ,kuongeza urembo wa sura nk ila wenzao wa North muda huo hawana ni kazi kazi hii imefanya waonekane kama watu tofauti
Angalia wanawake wa North na South
 
Umewahi kuishi, au unasikiliza propaganda za Wamagharibi?
 
Hapa 👇👇👇Nilitaka kuelewa kuliko mwandishi dunia ya ajabu hii.

Kinyesi ni mali ya serikali na kuna siku maalum ya kukusanya, watu huibiana sana vinyesi.
Na Kwa nn waibiane mavi? Au Kuna adhabu Kwa aliyekusanya mavi machache? Au Kuna ela wanapewa Kwa walio fanikiwa kukusanya mavi mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…