Ifahamu kwa kifupi Korea Kaskazini

Yaani familia moja ndo inawanyanyasa taifa zima, kumbe tuna afadhali kidogo.
 

Mkuu moja la kanusho si hilo apo juu....aya na wewe ulete chanzo cha hyo propaganda yako sio za kukopi uko x
Wale wajinga wote waliosema nimeandika uongo nikawaomba walete chagizo la ukweli wako wapi mpaka sasa?
Kukanusha ni rahisi sana kuliko kuthibitisha
Hujaandika mkuu sema umecopy...na kupaste....
 
Hata Marekani hamna demokrasia, vyama ni viwili tu na baada ya uchaguzi ni marufuku kuandamana
Nani kakudanganya kuwa vyama ni viwili tu, google basi, marekani kuna vyama zaidi ya 60 na mwakaka huu vilivyoweka nia ya kugombea urais ni 3 tu.
 
Unadhani ni rahisi hivyo, mbona kwa ccm imeshinfikana?
 
Je kuna takwimu zozote za raia wa North korea kutekwa na wasiao julikana?
au ni utamaduni wa nchi za zetu za democrasia na utawala bora, na vyama vingi?

Naona pesa yao ina thamani:
Pesa ya North Korea inaitwa KPW;

1 USD = 900.KPW

1 USD = 2,731 TZS
 
Pamoja na Korea ya kaskazini kutengwa na nchi nyingi duniani lakini bado ina maendeleo kuliko Tanzania.
 
Kuongelea nchi za wa wengine mnajua nyie nchi mnatekwa mna uwawa na hamafanyi kitu
Kazi kuongelea yasio wahusu
 
Umesahau kusema kuwa kuna adhabu ya vizazi...yaani ukifanya kosa ww hata mjukuu wako au babu yupo hatiani!!

Kila nyumba ina picha ya Viongozi hao watatu tangu babu yake na wakaguzi wakiikuta ina vumbi au imeharibika kivyovyote adhabu itakuhusu!!

Kila rais atakapokuwa na hafla ni lazima upige makofi kumshangilia ama akipita au akiwasili

siku aliyokufa babu au baba yake nchi nzima lazima kila mtu ahuzunike, ukikutwa una furaha adhabu ni kifo!! Kwa hapa Tanzania tuseme jana 14/10 ambapo taifa lilikuwa na kumbukizi ya kifo cha Hayati Jk Nyerere hata kama kulikuwa na Birthday yako au sherehe aisee ukikutwa una furaha ni kifo na lazima usitishe!!

China ndo muangalizi mkuu wa Nchi hiyo Tangu enzi ya Mao Tse Tung maana hataki kupenyezwa kwa propaganda za kibeberu!!

Huyo jamaa kama ni ukali basi amezidi
 
Pamoja na wazungu kuwa na mapungufu yao ya kibinadamu ila style ya maisha ya wazungu kwangu mimi ndio life style bora kuwahi kutokea duniani. Liberty yaani freedom of live as you wish. Haya mambo ya kupangiana pangiana kila kitu na sheria kali kali ni mambo ya hovyo hata kama inampa binadamu kila kitu itafika wakati atajihisi kuna kitu kapungukiwa.
 
Mkuu moja la kanusho si hilo apo juu....aya na wewe ulete chanzo cha hyo propaganda yako sio za kukopi uko x

Hujaandika mkuu sema umecopy...na kupaste....
Kakanusha huyo ajuza ama Nate kanakili na kubandika?
 
Alaf BANGI ni halali,,,,ila SKANKA anavuta rais tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…