Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Raslimali zilizopo wilaya ya Mahenge tu zinatosha kuendesha nchi na kulipa deni la taifa. Tukaachana mambo ya kukopa kopa na kuumiza walipa kodi
Mlima ndororo ule, yaan ukikaa juu unaona hadi korongo kule chiniiii aaaah wee, ni hatareee.kitonga haikuti ule mlima, wala senkeke haisogei ni vile tu badi.. kuna barabara saba unazipita na kuziona mlimani ukizivuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda sana kiti[emoji91][emoji91][emoji91]Mahenge.. kila nyumba nje ina banda la nguruwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeishi kota za Kwiro boys Sec.Hadi kipogoro unakijua, ulikuwa unaishi Mawasiliano.
Mara ya mwisho March 2020.Ulienda lini mara ya mwisho ?
Ilikuwa kwenye graduation ya ndugu yako ?
Nasikia Mdindo, Msogezi na RULI ndio kwenye huu mradi ni kweli?Barabara ya kwenda Mahenge itakuwa bora hivi karibuni kuna mradi mkubwa sana wa kuchimba Graphite unakwenda kule Mahenge katika vijiji vya Mdindo, Kisewe na kuna barabara itajengwa kuja kutokea kijiji cha Chikuti pale!
Hapo UTU ndo ilikuwa masikani yangu ya kushinda, mihogo kwa sanaUnampata Mama mwana?? Dada Jane(RIP) na wale wamama wa pale UTU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ni kweli pia Kisewe... lakini mradi hasa utakuwa kijiji cha Mdindo kwa sehemu kubwaNasikia Mdindo, Msogezi na RULI ndio kwenye huu mradi ni kweli?
Hao walikuwa wanapambana na O - Level, sisi Advance tulikuwa tunadeal na wadada na wamama wa mtaani kwanza walikuwa wanatuhonga misosi na penzi la bure hakuna kuhangaika😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlikua mnawaacha watoto wa St Agnes kwiro girls, na Regina Mundi???
Je watu wa Mdindo wamelipwa?Ndio ni kweli pia Kisewe... lakini mradi hasa utakuwa kijiji cha Mdindo kwa sehemu kubwa
Story gani mkuuHivi si ndio pale wanauza karanga hadi usiku wa manane utawakuta wadada barabarani wameshika nailoni zina karanga ndani? Pia nilisikia story kuhusu hao wadada wanaokesha barabarani hadi usiku mwingi sana
kijana tugawane umaskini huoKuna mali za kijerumani, hilo chimbo nalijua
Maeneo ya mang'ura milima ya udzungwa
Sitaki mtu pm
Pole sana kwa changamoto ulizokutana nazoHiyo wilaya sina ham nayo[emoji27] niliajriwa huko aisee unaweza kuhisi hauko Tanzania
But nashukuru kuajiriwa mazingira mabaya kama hayo ndo kulipelekea niache kazi now nimejiajir na na maisha yangu supper but hiyo Wilaya [emoji119][emoji119][emoji119]
Ni wakarimu sana mkuuHao walikuwa wanapambana na O - Level, sisi Advance tulikuwa tunadeal na wadada na wamama wa mtaani kwanza walikuwa wanatuhonga misosi na penzi la bure hakuna kuhangaika[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe nao hao waherumani walikuwa wanamajini yanalinda mali zao,ila sisi watanzania hatuna tusilolijuaMengi waliweka Ulinzi wa majini wakayaroga majini yasiweze kuondoka maeneo hayo Ili kuficha mali hadi wao au vizazi vyao ndivyo vije kutoa.
Wao huja kama wawekezaji, wakulima, wafadhili,nk.
Ivi ni mji gani hauna mchaga,ndio yale maneno ya yule mzee wa Efatha aliposema ukiona kwenye mji ama mtaa hakuna mchaga hama,ama hata jela ukikuta jela ama gereza hakuna mchaga hama,anasema sehemu isiyokuwa na mchaga hainaga maendeleo kamwe ndio naamini sasaHio bar mmiliki ni mwanamke wa kichagaa, ila wachimbaji wanapapenda sababu ndio sehemu kidogo inaonekana kwa hapo town
Majini hayana kabila.Na mswahili amfikii Mzungu kwa ndumba sema wao awafanyi ushirikina usio na faida.Wayahudi ndio mabingwa konki kwa uchawi na elimu kubwa Sana za nguvu za giza. Kumbuka Wayahudi ndio waliijenga ujerumani ikiwemo kuwapa elimu za kujua siri za dunia ikiwemo mambo yalitojificha.kumbe nao hao waherumani walikuwa wanamajini yanalinda mali zao,ila sisi watanzania hatuna tusilolijua