Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kwa huna ndugu wanaoweza kupa historia ya kwenu ?Nasikiaga huko ndiko aliko toka BABA,
nakumbuka miaka kadhaa nilikuja kumzika MAMA (mke wa baba)
Kupitia daraja la magufuli, LUPIRO, KICHANGANI, hadi IKUNGUA....
Tulipo zika tu, nikasepa, hadi leo na baadhi ya ndugu zangu siwajui, hata LUGHA yao siijui kabisaaa!!
ILA NIKISIKIAGA PANAJWA mtima una lipuka,
Na kila wa huko ninaye kutanana naye nahisi kama ni ndugu yang,
HATA PISI ZA HUKO, NIKI KUTANA NAZO, nahofia kupenyeza mdudu,
ISIJE NASA KWA SISTER ikawa TIMBWILI TIMBWILI....
ila pako pouwa, japo njia ni mbaya mno kutoka mikumi to Ifakara....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vijana wale wa Kasita na Kwiro walikuwa na fujo za hovyo hovyo sana, sisi tulikuwa tunawachora tu. Cha ajabu walikuwa na ma beef ya kugombania mademu wa St Agnes na Regna Mundi.Umenikumbusha siku moja bwana tunakipiga pale uwanjani si wakatufunga goli moja, dakika za lala salama jamaa mmoja akaenda kukaa golini, ukapigwa mpira wakati unataka kutoka nje jamaa akauunganisha kwenye nyavu na watu wakashangilia na mechi ikaisha hapo hapo kwa vurugu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapogoro wanahamasishana kwenda kwa Nyerere kumpokea kwa shangwe
"Tukamfil bab nyerer, Tukamfil bab nyerer."
Nyerere akaona usinitanie, nduki akala kona na mkutano haukufanyika[emoji23]
Kwiro ilikua ya Kibabe sana enzi hizo kila term Kuna migomo sio chini ya miwili ukiingia class Kuna viti na meza vya watu wa 5 hivi vingine porini na Ile chemba kule juu inaitwa chemba mavi..... Kuna choo kule juu kulikua kinaitwa Serbia [emoji23][emoji23][emoji23]wadau walikua wanazama serbia na kikopo na boxa au bukta.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vijana wale wa Kasita na Kwiro walikuwa na fujo za hovyo hovyo sana, sisi tulikuwa tunawachora tu. Cha ajabu walikuwa na ma beef ya kugombania mademu wa St Agnes na Regna Mundi.
"Sisi"
Nyie madogo ndo mlimtoa kimbunga pale. Alikua anazingua sana. Mimi nilitoka pale 2013 nakumbuka ndo mwaka haya mambo ya kwenda Jeshi yalianza.Miaka gani hiyo? Kwiro pale tulishashindikana 2014 pale namaliza hakukuwa na unyonge kiasi hicho
Morobest ile ligi ilimshinda, wamebaki Kidinilo na Al Saedy tu.Kwiro ilikua ya Kibabe sana enzi hizo kila term Kuna migomo sio chini ya miwili ukiingia class Kuna viti na meza vya watu wa 5 hivi vingine porini na Ile chemba kule juu inaitwa chemba mavi..... Kuna choo kule juu kulikua kinaitwa Serbia [emoji23][emoji23][emoji23]wadau walikua wanazama serbia na kikopo na boxa au bukta.
Kazi za kupasua kuni duuh. Mimama ya mahenge inagawa burebure tena akijua wewe ni advance level (wanaita secondary sana) unapewa mbususu tuuu. Nilikua naponea kwa nesi mmoja kule hospital no zake nilipoteza sijui hata yupo wapi.
Baridi +Radi mvua zikinyesha ni balaa mvua inanyesha kweli kweli nilikwenda mwaka juzi kama kutalii hakuna tena zile fun moments kama kuvuka kilombero na Pantoni.... Enzi hizo basi mbili tuu Alisaed na Morobest.
Kimbunga katoka , kaenda kuwa Afisa Elimu, yaani vijana wa hovyo walimpiga teke chura.Nyie madogo ndo mlimtoa kimbunga pale. Alikua anazingua sana. Mimi nilitoka pale 2013 nakumbuka ndo mwaka haya mambo ya kwenda Jeshi yalianza.
Nyie ndio mliwahi kutupa kinyesi kwenye ofisi ya walimu.Miaka gani hiyo? Kwiro pale tulishashindikana 2014 pale namaliza hakukuwa na unyonge kiasi hicho
Oyaaa we jamaa ni Ticha Derrick nini???? Maana unapita mule mule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kimbunga katoka , kaenda kuwa Afisa Elimu, yaani vijana wa hovyo walimpiga teke chura.
Sawa ila kipindi nimejoin pale advance mpaka namaliza ndio shule ilikuwa ina fujo sana na kwenye michezo hakuna aliyeweza ku battle na sisi.Kumbe umemaliza Kwiro juzi tu.
Anyway miaka ya 2000 hadi 2010 , Kasita amewakimbiza sana watoto wa Kwiro kwenye soka.
Alikuwa anazngua yule mzee na watu walishapinda kipindi kile sabb ya shule ilishaanza kuwa ya kifala kwa mambo yakeNyie madogo ndo mlimtoa kimbunga pale. Alikua anazingua sana. Mimi nilitoka pale 2013 nakumbuka ndo mwaka haya mambo ya kwenda Jeshi yalianza.
Kmmk ile shule huwa wanachukuaga vichwa vibovu sana mkuuNyie ndio mliwahi kutupa kinyesi kwenye ofisi ya walimu.
Nyie watoto mna lana aiseeh
Mara ya Kwanza naenda mahenge 2011 nilishangaa sana [emoji23][emoji23]nimezoea mabasi kutoka mikoa yetu ya kazkazini nikisafiri ukikata ticket seat yako ni yako Kuna luxury na semi luxury uwezo wako tuu.Morobest ile ligi ilimshinda, wamebaki Kidinilo na Al Saedy tu.
Hilo jina sio geni Masikion kwa mikono inayo type hapa.Oyaaa we jamaa ni Ticha Derrick nini???? Maana unapita mule mule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlikuwa mna advantage ya idadi kubwa kuliko your neighbouring school.Sawa ila kipindi nimejoin pale advance mpaka namaliza ndio shule ilikuwa ina fujo sana na kwenye michezo hakuna aliyeweza ku battle na sisi.
Vijana wa hovyo mlikuwa na hatari sana [emoji3][emoji3][emoji3]Kmmk ile shule huwa wanachukuaga vichwa vibovu sana mkuu
Wewe bruda mtoro, pale Friary mlikuwa mnasomea upadri au mlikuwa mnajifunza maisha ya ubruda wa Mtakatifu Fransisco wa Asizi ?
Ni kweli at least mhaahamu agapit ndorobo amekaa, ila huko nyuma ilikuwa hatariHadi alipokuja Bwana Agapit Ndorobo , naye akaanzisha miradi mipya ya mashule na kujaza warangi wenzake toka Dodoma kuja kuisimamia as if locals cant do.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wapogoro wanahamasishana kwenda kwa Nyerere kumpokea kwa shangwe
"Tukamfil bab nyerer, Tukamfil bab nyerer."
Nyerere akaona usinitanie, nduki akala kona na mkutano haukufanyika[emoji23]