Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Dah! Hayo maeneo ya Mang'ula A, Mang'ula B, Mwaya, Mgudeni, Kisawasawa, Kiberege, Signal (Ziginali), Sonjo, Mkula, Kidatu, Nyandeo, Mkamba, Ruaha, Ifakara yote, Mahenge, Malinyi, Mngeta kurudi nyuma, nk. Nimepiga sana mishe huko miaka ya 1990's.
Mbingu ushawahi fika mkuu….maeneo ya tandale center pale adi kule uzunguni…
 
Wapogoro kwa kuongea jamani?!

Hasa wanawake [emoji3]

Mzaramo huenda anasubiri.

Na kwa kupenda kwenda ngomani wanafanana.
 
Mbingu ushawahi fika mkuu….maeneo ya tandale center pale adi kule uzunguni…
Mbingu nilifika na kulala siku moja tu na kesho yake kuondoka. Hivyo sikufanikiwa kuyasoma mazingira

Ila niligundua ni eneo lenye chakula cha kutosha sana mf. Mpunga, ndizi, na mahindi eneo la Ikule kutokana na uwepo wa udogo wa rutuba na hali ya hewa nzuri.
 
Njia ya kwenda Songea inapita Malinyi, Ukipita Mahenge utajikuta upo Mtwara.
Asante.
Je kutoka malinyi kwenye songea ni km ngapi? Natumia muda gani kufika songea?
Nina safari ya kwenda malinyi halafu natakiwa kwenda mbinga songea.
 
Wazee wa Sanguula [emoji443][emoji443][emoji447][emoji449][emoji440][emoji450]🪘[emoji1623]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…