Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Huko tunakuja kutembea tu sasa na kuona wanduguUpo mang'ula A au B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko tunakuja kutembea tu sasa na kuona wanduguUpo mang'ula A au B
Ndio nasikia aisee kule ndio kijijini haswaa.Unafahamu kwamba Obotte alifichwa kule Sali? Pogoro ni wasiri wakati huohuo ni wanafiki.
YapNdio nasikia aisee kule ndio kijijini haswaa.
Unajisifia uzinzi.Uko ndo yanaenda magari yanaitwa KILAMSA?
Nlipanda siku moja na abiria wa uko tukashuka chalinze pale kuna lodge inaitwa MBUTA nkamla kimasihara tukasafiri kesho yake [emoji28]
basi acha nijisifie uzalendoUnajisifia uzinzi.
Kilamsa inaenda Mlimba, sio Mahenge.
[emoji23][emoji23]I remember the journey from Dar es salaam to mahenge! Tanzania kubwa nikafika saa 12 jioni Kama naenda Mbeya kumbe morogoro [emoji137][emoji137][emoji137]
Inabidi ukafanye sex Tourism huko[emoji23][emoji23]Pisi kali nyeusi ndio ugonjwa wangu
Itabidi nihamie mahenge
😅😅 Mbona sionagi pisi Kali.. naenda Sana Ila ni moja ya maneno TZ sijawahi Kula mzigoInabidi ukafanye sex Tourism huko[emoji23][emoji23]
cocastic kutoka mahenge mpka songea ni njia ya vumbi au lami?Njia ya Songea ishatobolewaaa. Ila kule mmmmh hapana kwa kweli.
Mbingu ushawahi fika mkuu….maeneo ya tandale center pale adi kule uzunguni…Dah! Hayo maeneo ya Mang'ula A, Mang'ula B, Mwaya, Mgudeni, Kisawasawa, Kiberege, Signal (Ziginali), Sonjo, Mkula, Kidatu, Nyandeo, Mkamba, Ruaha, Ifakara yote, Mahenge, Malinyi, Mngeta kurudi nyuma, nk. Nimepiga sana mishe huko miaka ya 1990's.
Ulifika mwaka gani mkuu….tandale center ushawahi fika?Nilienda mahala panaitwa Mbingu. Aisee pana milima amazing sana.
Njia ya kwenda Songea inapita Malinyi, Ukipita Mahenge utajikuta upo Mtwara.cocastic kutoka mahenge mpka songea ni njia ya vumbi au lami?
Natumia umbali gani mpka songea?
Unachanganya wapogoro na waluguruWapogoro kwa kuongea jamani?!
Mzaramo huenda anasubiri.
Na kwa kupenda kwenda ngomani wanafanana.
Unachanganya wapogoro na waluguru
Mbingu nilifika na kulala siku moja tu na kesho yake kuondoka. Hivyo sikufanikiwa kuyasoma mazingiraMbingu ushawahi fika mkuu….maeneo ya tandale center pale adi kule uzunguni…
Asante.Njia ya kwenda Songea inapita Malinyi, Ukipita Mahenge utajikuta upo Mtwara.