cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlikua mnawaacha watoto wa St Agnes kwiro girls, na Regina Mundi???Umenikumbusha kipindi hicho nasoma Kwiro boys, tulikuwa tunalelewa na wamama wa kipogolo kwa kuwahonga ada ya shule