Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

Huu Ni ujinga sasa.
 
Tofauti ya Dar na Arusha ni kubwa sana.Tuna safari ndefu sana
 
Takwimu hupingwa kitakwimu, huo ndio uhalisia. Dar ndio mpango mzima, Dar ndio Tz yenyewe japokuwa wachache kati ya wakazi wake ndio wanaishi kwenye makazi bora ikiwemo hayo maghorofa.
 
Kwanza jirekebishe sio kua kujenga nyumba za kawaida ndio utajiri, asili ya gorofa ilianzia huko ulaya kwenye uhaba wa ardhi, baadae kwetu ikaja ikawa fashion pamoja na uwekezaji, lakini pia ujenge apartment ya gorofa muleba nani atakuja kurent?
Hapa umeongea nn?
Sasa ni k2 gani hatujacopy ulaya? Hamna uwezo wa kujenga kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…