Ifahamu nchi kubwa kuliko zote duniani

Vilevile ni nchi inayoongoza duniani kuzalisha mafuta , gesi , madini muhimu ya viwanda, Mazao ya misitu , Mazao ya nafaka na mbolea.

Ughali wa maisha unaotokea duniani kote kuanzia marekani , ulaya nk ni sababu ya vita ya russia na ukraine.
 
Kuna Muda hawa hutuambia mara sayari Fulani imepotea yaani shida tupu.

Ila huenda ikawa hivyo
huwa haipotei. sema pluto huwa haitambuliki kama sayari maana haina sifa kama za sayari nyingne mfano kuwa na orbit yake[ inazungukia kwenye orbit ya sayari zingne]
 
Hasira na kupaniki kwa huu utopolo? Tatizo ni uzi wenye hoja za kijinga kuletwa utadhani wote humu ni watoto wa primary.

Au nawe ni zumbukuku yakhee!!
Kama na wewe umechangia ina maana ni miongoni mwa hao wajinga,ungekuwa mwerevu ungepita kimyakimya hili ni jukwaa huru kila mtu anatoa mawazo yake as long as hayavunji kanuni na taratibu za humu ndani ila usilazimishe waweke ni paka kujadili Archimedes principle na mambo yanayofanania na hayo eti kisa kwako yanaonekana kuwa ya kijinga
 
Utopology
 
Huge with un patrolled borders
 
Kuna watu maisha yamewapiga hasira zao wanakuja kumalizia huku, ukikutana nao hali huwa kama hivi.
 
Mada ya kijinga. Mtu yeyote aliyeishia darasa la saba akipewa atlas na kuulizwa maswali haya atayajibu yote!!!

Kipi kipya kuhusu nchi kubwa kuliko zote duniani na mipaka yake???
Mkuu punguza stress & wivu wa kikudah
 
Maji yanayotenganisha US(Alaska) na Russia yana upana ya 2.5 miles na yanaganda kipindi cha baridi, hivyo unaweza tembea kwa miguu toka US mpka Russia
Sasa kwa nini hakuna tatizo la wahamiaji haramu kutoka US & vice-versa
 
Mada ya kijinga. Mtu yeyote aliyeishia darasa la saba akipewa atlas na kuulizwa maswali haya atayajibu yote!!!

Kipi kipya kuhusu nchi kubwa kuliko zote duniani na mipaka yake???
Wewe ndo mjinga,Kwa Nini hujaleta thread ya namna hiyo kabla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…