mipangoMikubwa
Member
- Oct 24, 2019
- 34
- 32
hii inatokana na demand ya pesa yao katika soko la duniaKwa leo 1 Tsh ni sawa 21.69 Yen, unaweza kutuambia ni kwa nini thamani ya fedha ya Japan ipo chini sana licha ya kuwa na uchumi mkubwa sana wa viwanda na pia naimani exportation ni kubwa kuliko importation?
Sent using Jamii Forums mobile app
hii inatokana na demand ya pesa yao katika soko la duniaKwa leo 1 Tsh ni sawa 21.69 Yen, unaweza kutuambia ni kwa nini thamani ya fedha ya Japan ipo chini sana licha ya kuwa na uchumi mkubwa sana wa viwanda na pia naimani exportation ni kubwa kuliko importation?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo radio Japan kwa kiswahili ambacho sina uhakika ni iwapo inaaikika pia Japan au ni huku maziwa makuu tuSijawahi isikia
Hoja niliyokuwa nikiilenga si kumalizika kwa kazi, per se, bali mfanyakazi anakuwa kama zombie kutokana na 'routine' ya shughuli. Kama kazi yako ni kuchomeka 'fuse' kwenye mtambo ambayo inachukua sekunde 10, utafanya hivyo siku nzima, Jumatatu hadi Ijumaa, Januari hadi Desemba. Kama alivyosema mchangiaji mwingine, hii inaweza kuleta msongo wa akili na kuleteleza kujiua. Nadhani Japan inaongoza ulimwenguni kwa kujiua kwa watu, ingawa sababu halisi hazijafanyiwa utafiti kugundua kulikoni. Lakini hili la kazi linatajwa kwenye hypothesis. Kwa hiyo, uzuri wa mfumo wa kazi una mabaya yake pia.Japan zipo sheria za kikazi kabisa na unatakiwa kufanya masaa 8 na yanayozidi hapo ni masaa ya ziada sema ni mazoea ya hawa jamaa yaani Kama alipanga kazi yake iishe basi lazma iishe hataondoka ni mpka aimalize na sio kwamba kuna ukubwa huo wa hali ya msongo wa mawazo kwa Japan.
Uaminifu ni kweli kaka jamaa ni waaminifu sana na pia kinachochangia nadhani ni kwa vile hawana njaa wamejikita zaidi kufanya kazi na kushindana kugundua vitu na teknolojia mpya zaidi ya kufikiria kuiba
Acha matus ya rejarejaKUMAMOTO PRODUCT co.ltd [emoji4][emoji4]
Sio kweli mkuu hakuna kitu Kama hicho, kazi Kama hizo huwa zinafanywa na mitambo, huo ni uzushi tu Mimi nimefanya hapo miaka 2 unusu sijaona Wala kusikia kitu Kama hichoHoja niliyokuwa nikiilenga si kumalizika kwa kazi, per se, bali mfanyakazi anakuwa kama zombie kutokana na 'routine' ya shughuli. Kama kazi yako ni kuchomeka 'fuse' kwenye mtambo ambayo inachukua sekunde 10, utafanya hivyo siku nzima, Jumatatu hadi Ijumaa, Januari hadi Desemba. Kama alivyosema mchangiaji mwingine, hii inaweza kuleta msongo wa akili na kuleteleza kujiua. Nadhani Japan inaongoza ulimwenguni kwa kujiua kwa watu, ingawa sababu halisi hazijafanyiwa utafiti kugundua kulikoni. Lakini hili la kazi linatajwa kwenye hypothesis. Kwa hiyo, uzuri wa mfumo wa kazi una mabaya yake pia.
$100 hicho ni kiwango Cha chini Cha wanafunzi wa chuo na hizo ni pesa nyingi kwa huko nyumbani huku hiyo ni pesa ya kawaida Kama ukiwa na michongo ya kuelewekaAhsante mkuu wa kutujuza. Matumizi daily $100,000 au sijakusoma vzr....
Vp ww binafsi umemudu vp kusomesha watoto huko Nakagoya?
Haha Hapana mkuu ni katika ufuatiliaji wangu mkuu ila nina mpango wa kwenda for vacation hiki kirusi kikipoa.Ulifika huko mkuu?
Mkuu ulikuwa mkoa gani?😂😂 Umevibinya vitoto vya watu halafu ukavikimbia? Mimi naenda sana huko mapumzikoMkuu, umeitendea vyema Japan... umeongea ukweli kabisa. Hongera sana!
Maisha ya kule ni mazuri sana huduma zote kama usafiri, matibabu, shule, ziko vzr mno. Wajapani ni wachapakazi si mchezo. Mkipatana kukutana na mjapani saa 14:00, yeye saa 13:50 ameshafika anakusubiri. Wako vzr ktk muda. Hii inanipa shida sana huku Bongo! Na pia wako vzr ktk kuplan vitu vyao. Mjapani anaweza plan vitu vyake kwa mwaka mzima!
Pamoja na kuishi kule nilipata bahati ya kula kimasihara madem wawili.
どうも、ありがとうございました。
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema $100...Vua hiyo miwani na barakoaAhsante mkuu wa kutujuza. Matumizi daily $100,000 au sijakusoma vzr....
Vp ww binafsi umemudu vp kusomesha watoto huko Nakagoya?
Mkuu nakupa hints za huo mji: Mji uko katikati ya Hiroshima na Hakata, Fukuoka. Watoto walinipea wenyewe, ha ha ha!Mkuu ulikuwa mkoa gani?[emoji23][emoji23] Umevibinya vitoto vya watu halafu ukavikimbia? Mimi naenda sana huko mapumziko
Kitakyushu mkuu ama?Mkuu nakupa hints za huo mji: Mji uko katikati ya Hiroshima na Hakata, Fukuoka. Watoto walinipea wenyewe, ha ha ha!
Sent using Jamii Forums mobile app