Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

yaan unamziba masikio mtoto na pamba kwa lengo asikusikie, af unamwita asipokusikia unamchapa (wakati ulimziba masikio mwenyew kwa kusudi asikusikie)

Unamwonea
Hahaha. Hapo sasa.

Halafu Quran yao imeandika hilo wazi kabisa.

Ukiwabana wanalalamika tafsiri. Hawajui kwamba hata tafsiri, kitabu cha Mungu kuwa na matatizo ya tafsiri ni ushahidi huyo Mungu hayupo kiukweli, ni wa hadithi tu.

Angekuwepo angefanya kitabu kieleweke bila hata kuandikwa.

Ukiwabana sana wanasepa hawarudi.
 

Wanaitaji maombi ya kufunga
 
Sasa Allah mwenye rehema zote na upendo wote, kwa nini asiwafanyie huruma wenye kiburi na kuwafungua mioyo yao wapate kumuelewa?

Baba gani anayeona mwanawe anapotea atamfungia njia ya kwenda kwema na kumuacha apotee?

Hao waja wakisema ni kweli walikuwa wameanza na kiburi, lakini wangeachiwa na Allah bila kuingiliwa na kuzibwa mioyo yao na Allah, kuzibwa masikio na macho yao na Allah, wangeweza kujirudi na kumrudia Allah, ila Allah alivyowaziba mioyo, macho na masikio ndiyo kasababisha wasiweze kumjua kabisa, Allah ataepukaje lawama hapo?

Unaelewa Allah, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote, kuumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na kiburi, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na kiburi, ni contradiction?

Huyo Allah yupo kweli au ni uzushi tu?

Unaweza kuthibitisha yupo na si stories za watu tu?
 
1 ya vitu najiuliza sana na sijawahi kupata majib ni hili, KWANINI MUNGU ALIAMUA KUMTUPIA SHETANI DUNIANI PALIPO/ATAKAPOWAWEKA WATOTO WAKE (sisi wanadamu) ANAOTAKA WASIMKOSEE NA WAMWABUDU, NA SIYO KWENYE SAYARI NYINGNE AU HATA GALAXY ZINGNE KABISA ILI SISI TUSIMKOSEE MWENYEZI MUNGU??? na anajua kabisa shetani ana nguv na ushawish mkubwa kias cha wanadam kutochomoka mbele yake.



KWANINI DUNIANI NA SIYO SAYARI/GALAXY ZINGINE??????????
 
kwenye ile movie ya yesu, yesu alipigwa msalabani na watu watatu hivi hao wawili hawakupewa hiyo sifongo?
 
Ni mbaya sana kujaribu kueleza jambo gumu ambalo hulijui sawa sawa!
 
Kuthibitisha uwepo wa Mungu si kazi yangu. Ila imani ya Mungu unahitaji unyenyekevu, subira na contemplation. In the grand scale of the Universe, our power of reasoning has still not yet reached its peak, and because of our limitations wa fail to see the Glory of God. That limitation has been intentionally imposed on us, to ignite curiousity in us and generate a need for a learning process. As our knowledge increases, perhaps in time we will be able to tear apart the curtains shrouding the mysteries of God.

Life is all a matter of choices and as you choose so you become. Your arguments about kwa nini Mungu kawa fanyia watu fulani hivi na watu wengine vile haina mshiko. Ni juu ya watu KUCHAGUA nini kufanya baada ya kukutwa na situation fulani. Unaweza kuchagua kuangamia while fighting to keep the faith or to choose to loose it and become an aethist. It is as YOU CHOOSE that you grow or perish.

Mimi sina interest in convincing you or anybody else for that matter juu ya kuwepo kwa Mungu. Uthibitisho huu haiji kwa hoja, mantiki, or other wordly instruments. Sometimes it is just the sight of a brilliant sunset or the Milky Way, a mother and a baby, or a beautiful vista that pulls the strings in your heart and draws you towards God! Two different people might see the same sight but experience totally different reactions based on their outlook. This is where the deafness, dumbness and blindness comes in!.

Kwa hiyo, based on your experiences, outlook and choices, ni sawa kabisa ikiwa umechagua kutoamini uwepo wa Mungu. Ila inakera pale unapoleta kejeli, dhihaka na attitudes kwa wale wanaoamini kwenye uwepo Wake. The world is still large enough to accommodate all sorts of people, it is we who need to learn how to respect the spaces created by its people!
 
maji k.v. ya matunda au nazi yaliyochachuliwa kwa makusudi ambayo hutumika kuongezea ladha katika baadhi ya vyakula au dawa
 
Sihoji imani, nahoji fact.

Hivi ni vitu viwili tofauti.

Unachojibu si nilichouliza.
 
Na Mungu hachunguziki
 
Sihoji imani, nahoji fact.
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Unachojibu si nilichouliza.

Kuna mambo mengi hayawezi kuthibitika because of the limits on our physical and mental capacities, and that's where the realm of belief begins. For example in our current bodies we cannot cross into Space and need suits to endure the conditions there. Its same with spiritual matters, our minds are not fully evolved to understand God and his many attributes!

Kwako wewe ikitokea kitu kibaya basi unauliza ni Mungu gani anayeleta mateso namna hii kwa waja wake? Lakini kwa waumini, hayo si mateso bali ni fursa ya kuchukua mafundisho (ibraa)! Ni ishara ya kuanza kujirekebisha na kujitahidi kubadilisha the final outcome! Waislamu kwenye sala zao ya kuaga maiti, wanatamka kwamba marehemu ametutangulia, na sisi tuliobaki tuchukue tahadhari kwamba kuna mauti mbele na tujirekebishe!!! Wengi wetu tunapoteza hii fursa kwa kujifanya deaf, dumb and blind!

Ulichouliza yote yamejibiwa hapa juu na post iliyotangulia. Ni style yako - ukibanwa, unaleta ubishi usiyo na msingi. I've better things to do then waste time on baseless arguments! Kama huna la maana ya kuongeza, silence might prove to be gold!!
 
Pingamizi langu kuhusu hoja ya kuwepo kwa Mungu haliishi kwenye ukweli kwamba huwezi kuthibitisha yupo.

Nimezama zaidi kwenye contradictions zilizopo katika dhana ya kuwepo huyo Mungu.

Unaelewa hilo?

Umezielewa contradictiond? Unaelewa contradiction ni kitu gani? Unaweza kuziondoa?

Hujaondoa contradictions nilizotaja kuwemo katika habari za kuwepo Mungu.

Sina hakika hata kama umezielewa.

Unayataja mateso, halafu unasema haya si mateso. Unajua hata wewe mwenyewe umesimama wapi?

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu wenye mafundisho bila mateso?
 

Contradiction hapa ni Mungu ambaye anauwezo wakufanya mazuri bado anachagua kuwafanyia waja zake mabaya??? Hizo unazoziita 'contradictions' ndizo fursa zenyewe kwa waumini kuchukua tahadhari, kutubu, na kubadili matokeo. Maisha yakiwa yamejaa mazuri tu haina changomoto, ni pale kwenye mitihani ndipo haki na batili zinagundulika!!! Na walioshikilia haki ndio wanapata kumjua Mungu vizuri zaidi. So the trials and tribulations are nothing but a process designed to filter out the good from the bad!!!
 

And don't patronize me kwa kuuliza ninajua hiki au kile!! We jibu tu hoja kwa hoja.

Yaliyompitia Ayubu dunia inaona kama mateso lakini yeye mwenyewe aliona ni fursa ya kutubu na kuongeza ibada!
 

Neno la Wiki- Sifongo


24 Machi 2017
Wiki hii tunaangazia neno “Sifongo” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Bwana Sigalla anasema kwamba msamiati huu unafahamika kutokana na kuandikwa sana katika vitabu takatifu. Anasema sifongo ni kama kitu yavu yavu kinachosharabu maji na kina uwezo wa kukaa na maji lakini pia kinayaachia yale maji na hutumika sana kwa kuogea na kujisugulia.


Ufafanuzi wa sifongo katika Kiswahili
sifongo

NOMINOplural sifongo

  • 1
    kitu laini kama mayavuyavu chenye tundutundu na kinachofyonza vitu viowevu k.v. maji au mafuta au ambacho hutumika sana kusugulia mwili wakati wa kuoga.


    Visawe
Asili
Kar
Matamshi
sifongo
/sifɔngɔ/

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…