GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo:
1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani.
2. Una Akili Kubwa kuliko Upumbavu Waliotunukiwa nao na ambao Utawatesa mpaka Kufa Kwao.
3. Nyota yako ni Kali halafu inang'aa 24/7 na Wanahangaika Kuizima ila wanashindwa kwakuwa Swichi yake ameishika Yesu Kristo / Mtume Mohammed SW anayekupigania, anayekulinda na anayekupenda kuliko Wanavyokuchukia.
4. Ulizaliwa Siku ya Jumanne ambayo Kiimani ndiyo Siku ambayo Baba Muumba Mwenyezi Mungu huwa anagawa Baraka, Shani na Tunu zake kwa Wale Wanadamu aliowaumba na anaowapenda na pia ana Kazi nao njema hapa duniani.
5. Umaarufu wako uliopata Kibali kutoka Mbinguni kwa Baba Mola ni Tishio Kwao.
6. Huna Unafiki kama Wao halafu hujui Kujikomba wala Kujipendekeza Kwao hata kama Wanakuumiza, Wanakutesa na Wanakusumbua kwa Makusudi ili Kukuvunja Nguvu na Moyo.
7. Una Thamani ya Kipekee kwa Wanadamu Wenzako na Taifa lako na mara nyingi Mwenyezi Mungu hukutumia kama ngazi ya (daraja la) Mafanikio kwa Wanadamu wengine tena wengi Wao wakiwa ni hao hao Maadui zako huku akiwa amekupa Zawadi Kubwa ya Maono na Machale ya kuweza Kuwaepuka ili Wasikudhuru kwa namna yoyote ile.
Hivyo basi GENTAMYCINE nakuasa Ewe Mwanadamu unayechukiwa, unayeandamwa na hata Kukomolewa kwa kila namna kuwa ifurahie na ikiwezekana jivunie hiyo (hii) hali kwani ina Mafanikio yako mengi ambayo yatakuja Kushuhudiwa na hawa hawa (hao hao) Maadui zako na pia ni Makusudi yake Mwenyezi Mungu katika Kukujenga na kukufanya uwe Imara zaidi.