IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

Mafanikio kwenye mpira ni yapi? Ulivyo mwehu unadai eti unbeaten ya mchongo wakati umesahau hao simba na azam ni miongoni mwa timu zilizoshindwa kuifunga yanga
 
Mkuu hongereni sana. Tunaomba kujua na timu yetu ya Wananchi (Yanga afilika) tupo nafasi ya ngapi.
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yanga a firika tena,wapi na lini hyo??
 
Sa wewe na we kweli utopolo,hiyo ni ya mwaka jana unaeka ya nini hapo????huyo berkane kazi yake ishaisha haya mtoe hapo eka simba,mbona simple tu ewe yanga a firika
 
Takwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Kwahiyo mtu akifungwa goli 5 leo anaporomoka, kesho akishinda goli 10 anapanda chati? Unajua vigezo wewe? Utopolo akili zenu za kijinga Sana🚮
 
Una ugiligili kichwani
 
Aaah kumbe za mwez
 
Jichekesheni tu lakini siku tukikutana mtalia.
Hiyo taasisi iliyotoa huo msimamo Ni ya michongo.
 
team inalamba mabilioni wewe inataka kombe!
 
Huu ni UONEVU
Mbona UTO hawapo?
 
Simba ni taifa kubwa na tunamchukulia poa kwa vitu anavyofanya ila kiuhalisia amefanya mengi kwa level za club ya kusini mwa jangwa la saharana na nchi za Africa magharibi hakuna anaeweza Zaidi ya mamelod sundown pekee ndio Mnyama hajafika level yake katika miaka 5 robo fainal 4 nitajie timu yoyote ya kusini mwanag la sahara na Africa magjharibi yenye kufika level iyo ukitoa mamelod
 
Ao jamaa tangu wajue Simba ni ma Mbumbumbu basi kazi Yao ni kuwa pamba Kwa kuwapikia Data za mchongo.
Na walivyokua Awana adabu Kuna siku Simba atawekwa namba Moja ndipo watakapo stuka[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…