IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

Kuchukua kombe sio mafanikio pekee. Ndio maana kila hatua kuna zawadi. Morocco hawakuchukua kombe world cup ila kwa hatua waliofika ni mafanikio makubwa tu. Timu inayojielewa haiwezi kumsifia kocha kwa kumpigia makofi kwa unbeaten ya ligi yenye timu zinazokosa nauli mbaya zaidi ni unbeaten ya mchongo.
Mafanikio kwenye mpira ni yapi? Ulivyo mwehu unadai eti unbeaten ya mchongo wakati umesahau hao simba na azam ni miongoni mwa timu zilizoshindwa kuifunga yanga
 
Mkuu hongereni sana. Tunaomba kujua na timu yetu ya Wananchi (Yanga afilika) tupo nafasi ya ngapi.
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yanga a firika tena,wapi na lini hyo??
 
Hivi hizi data huwa mnamuongopea nani na kwa faida ya nani!? Mbona hamuwezi kuficha umbumbumbu ndugu zangu napata na walakini na aina ya mashabiki wa timu hiyo..kwenye website yao data ambazo zipo updated ni za 1Feb 2022 mpaka 31 Feb 2023..Wewe na Kazumari wako na Mo dewji kama kawaida yenu mkakaa kutafuta cha kuwaongopea mashabiki maandazi wenu na hili muwachanganye zaidi mkaandika tarehe ya kimagumashi 1 march 22 mpaka 28 feb 23 mnapingana kabisa na timeline iliyopo kwenye database zao ambazo zipo updated tarehe 23 February mwaka huu..Huu ni mradi wa nani wa kuwaongopea mbumbumbu?unavyoona hapo simba ipo top ten?View attachment 2547246
Sa wewe na we kweli utopolo,hiyo ni ya mwaka jana unaeka ya nini hapo????huyo berkane kazi yake ishaisha haya mtoe hapo eka simba,mbona simple tu ewe yanga a firika
 
Takwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Kwahiyo mtu akifungwa goli 5 leo anaporomoka, kesho akishinda goli 10 anapanda chati? Unajua vigezo wewe? Utopolo akili zenu za kijinga Sana🚮
 
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]
Una ugiligili kichwani
 
View attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points

Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
Aaah kumbe za mwez
 
Jichekesheni tu lakini siku tukikutana mtalia.
Hiyo taasisi iliyotoa huo msimamo Ni ya michongo.
 
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]

Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]
team inalamba mabilioni wewe inataka kombe!
 
Simba ni taifa kubwa na tunamchukulia poa kwa vitu anavyofanya ila kiuhalisia amefanya mengi kwa level za club ya kusini mwa jangwa la saharana na nchi za Africa magharibi hakuna anaeweza Zaidi ya mamelod sundown pekee ndio Mnyama hajafika level yake katika miaka 5 robo fainal 4 nitajie timu yoyote ya kusini mwanag la sahara na Africa magjharibi yenye kufika level iyo ukitoa mamelod
 
Ao jamaa tangu wajue Simba ni ma Mbumbumbu basi kazi Yao ni kuwa pamba Kwa kuwapikia Data za mchongo.
Na walivyokua Awana adabu Kuna siku Simba atawekwa namba Moja ndipo watakapo stuka[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom