NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ha ha ha haWakija ofisini kwako wanauliza "Bakari yupo!?" Wakati wafanya kazi wako wanakuita "Boss Beka" tena kwa heshima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haWakija ofisini kwako wanauliza "Bakari yupo!?" Wakati wafanya kazi wako wanakuita "Boss Beka" tena kwa heshima.
Halafu simba kaanza kumnyanyasa mwarabu kabla mamelodi hajanunua suruali ya jeans.Mamelod nao wanawawazia Simba..
Kwani Rage ndio katoa list hiyo?Umepiga kwenye mshono.. Rage aliona mbali sana
Baada ya kuona 31 Feb nimeishia kuona aibu mimi1Feb 2022 mpaka 31 Feb 2023..View attachment 2547246
Mkuu upo ulipotelea wapi umfowethu.Simba haipo hapo kwa bahati imepambana sana kufika hapo ila kuna vibwengo watukuja kubeza..
Mafanikio kwenye mpira ni yapi? Ulivyo mwehu unadai eti unbeaten ya mchongo wakati umesahau hao simba na azam ni miongoni mwa timu zilizoshindwa kuifunga yangaKuchukua kombe sio mafanikio pekee. Ndio maana kila hatua kuna zawadi. Morocco hawakuchukua kombe world cup ila kwa hatua waliofika ni mafanikio makubwa tu. Timu inayojielewa haiwezi kumsifia kocha kwa kumpigia makofi kwa unbeaten ya ligi yenye timu zinazokosa nauli mbaya zaidi ni unbeaten ya mchongo.
Nipo ndugu njoo PM.Mkuu upo ulipotelea wapi umfowethu.
Angalia points acha upoyoyoTakwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yanga a firika tena,wapi na lini hyo??Mkuu hongereni sana. Tunaomba kujua na timu yetu ya Wananchi (Yanga afilika) tupo nafasi ya ngapi.
Sa wewe na we kweli utopolo,hiyo ni ya mwaka jana unaeka ya nini hapo????huyo berkane kazi yake ishaisha haya mtoe hapo eka simba,mbona simple tu ewe yanga a firikaHivi hizi data huwa mnamuongopea nani na kwa faida ya nani!? Mbona hamuwezi kuficha umbumbumbu ndugu zangu napata na walakini na aina ya mashabiki wa timu hiyo..kwenye website yao data ambazo zipo updated ni za 1Feb 2022 mpaka 31 Feb 2023..Wewe na Kazumari wako na Mo dewji kama kawaida yenu mkakaa kutafuta cha kuwaongopea mashabiki maandazi wenu na hili muwachanganye zaidi mkaandika tarehe ya kimagumashi 1 march 22 mpaka 28 feb 23 mnapingana kabisa na timeline iliyopo kwenye database zao ambazo zipo updated tarehe 23 February mwaka huu..Huu ni mradi wa nani wa kuwaongopea mbumbumbu?unavyoona hapo simba ipo top ten?View attachment 2547246
Kwahiyo mtu akifungwa goli 5 leo anaporomoka, kesho akishinda goli 10 anapanda chati? Unajua vigezo wewe? Utopolo akili zenu za kijinga Sana🚮Takwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Lete inayoonyesha utopolo wapo nafasi ya ngapiFootball Data Base kwangu ndiyo iliyo sahihi.
Una ugiligili kichwaniTimu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]
Aaah kumbe za mwezView attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
team inalamba mabilioni wewe inataka kombe!Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]