Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wa motooThe takeover of mamelody sundowns in Africa football.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa motooThe takeover of mamelody sundowns in Africa football.
Waambie jamaa waandae orodha nyingine ya timu zenye makombe ili Simba SC isiwemo.Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Na washabiki wake hao wanafurahi[emoji23][emoji23]
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu[emoji848][emoji848]
Kwamba tukitoa wale wawili Manara anaosema wana AKILI, sisi wengine tunaobaki wote ni MBUMBUMBU. Hakukosea, maana hii orodha hajaiandaa Simba, sasa makasiriko ya nini kama sio uchawi!Umepiga kwenye mshono.. Rage aliona mbali sana
Wakija ofisini kwako wanauliza "Bakari yupo!?" Wakati wafanya kazi wako wanakuita "Boss Beka" tena kwa heshima.Ni sawa na wana unaokuwa nao kijiweni halafu ukapambana ukatoka. Wanakuchukulia easy tu
Ubora wa aliyepigwa goli 7 juzi Uingereza ni sawa na anayeshika mkia ligi kuu na hajawahi fungwa 7!?Takwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Hawa wajinga hawakosekani kokote kule wapo. Wanasahau Liverpool hii ya sasa sio ile ya mwaka juzi. Wanasahau Barcelona alivyo_struggle hapa kati.Timu zote lazima zipitie hali hiyo, ukiwa na timu nzuri kuna kipindi timu yako naishiwa makali kutokana na wachezaji kuzeeka au wachezaji wapya unaosajili kushindwa kuziba nafasi zilizoachwa wazi na wachezaji wa zamani.
Wanamatatizo sanaHawa wajinga hawakosekani kokote kule wapo. Wanasahau Liverpool hii ya sasa sio ile ya mwaka juzi. Wanasahau Barcelona alivyo_struggle hapa kati.
Mamelod nao wanawawazia Simba..Ni kweli, but usipumbazike na takwimu, timu yetu inacheza mpira mbovu sana, nimewaona Mamelod jana, mh, tema mate chini
kwa hio list timu ya simba imepanda au imeshuka?View attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
umeisahau Petro LuandaView attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
VP jirani yuko kwenye 30 bora?View attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
wana ugiligili vichwani mwao,[emoji23]Kuna watu wana ugiligili vichwani mwao, ni lazima wajibu kwa kupayuka. Utawasikia wakisema "hakuna kitu hapo"!!
Hahahah[emoji23]Na connection wangetoa
...wana ugiligili vichwani mwao,...[emoji23]Acha makasiriko!!
Hiyo Orodha haijatolewa na Ahmed Ally sasa inakuwaje unawalaumu mashabiki wa Simba. Kwa Afrika unadhani kuna mataifa mangapi. Yapo mataifa 55 na kote huko kuna Ligi na mabingwa wao.
Kwenye hiyo Orodha suala la kuwemo si kuwa na kombe la ligi bali ubora wa timu.
Bila kusahau Gongowazi na Jezi wangezindua.Na cake wangetengeneza