IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

dadeki,Simba wenyewe sasa wala awana habari washazoe link za juu kimataifa wanaona kawaida yani.

Mungu wangu ingekua ile timu ya askari zenj f.c wangefanya sherehe kila tawi,si mnawajua walivyo washamba!
Louder and louder
giphy.gif
 
Acha makasiriko!!

Hiyo Orodha haijatolewa na Ahmed Ally sasa inakuwaje unawalaumu mashabiki wa Simba. Kwa Afrika unadhani kuna mataifa mangapi. Yapo mataifa 55 na kote huko kuna Ligi na mabingwa wao.

Kwenye hiyo Orodha suala la kuwemo si kuwa na kombe la ligi bali ubora wa timu.
Absolutely right
giphy.gif
 
View attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points

Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
Aahaaaa
 
View attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points

Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
Kaka kwa hiyo tuendelee kuwaamini IFFHS au siku hizi matapeli???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom