ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucheka kupokezanaKuna watu wana ugiligili vichwani mwao, ni lazima wajibu kwa kupayuka. Utawasikia wakisema "hakuna kitu hapo"!!
Ni kweliTatizo kuna watu wanaichukulia poa sana Simba, ila kiukweli wamepambana sana kufika walipofika hata kama msimu huu wana timu mbovu kama wasemavyo baadhi ya watu!
Louder and louderdadeki,Simba wenyewe sasa wala awana habari washazoe link za juu kimataifa wanaona kawaida yani.
Mungu wangu ingekua ile timu ya askari zenj f.c wangefanya sherehe kila tawi,si mnawajua walivyo washamba!
Absolutely rightAcha makasiriko!!
Hiyo Orodha haijatolewa na Ahmed Ally sasa inakuwaje unawalaumu mashabiki wa Simba. Kwa Afrika unadhani kuna mataifa mangapi. Yapo mataifa 55 na kote huko kuna Ligi na mabingwa wao.
Kwenye hiyo Orodha suala la kuwemo si kuwa na kombe la ligi bali ubora wa timu.
AahaaaaView attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
Kaka kwa hiyo tuendelee kuwaamini IFFHS au siku hizi matapeli???[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
Baadae wakawa matapeliKaka kwa hiyo tuendelee kuwaamini IFFHS au siku hizi matapeli???[emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamuooou... Hasibu la CAF CPA famba OKW.Baadae wakawa matapeli
Wewe na gundu ni nduguBaadae wakawa matapeli
🤣🤣🤣 Siku wakiwaweka Tena kwenye 10 Bora watakuwa wamempokea yesu na kuokoka kuwa waaminifu Tena🤔🤔Baadae wakawa matapeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baadae wakawa matapeli
Mmemzidi mpaka Mamelod, hongereniShikamuooou... Hasibu la CAF CPA famba OKW.
Mhasibu tunaomba updates tafadhali. 😁Baadae wakawa matapeli
Mzee wa ugiligili, updates please!! 😁Kuna watu wana ugiligili vichwani mwao, ni lazima wajibu kwa kupayuka. Utawasikia wakisema "hakuna kitu hapo"!!
Mmewezaje kuwa bora kuliko Simba na Sundown. Kama sio utapeli niniMhasibu tunaomba updates tafadhali. 😁
Ubora wa Simba ni upi haijawahi kuvuka robo kwenye mashindano yoyote?Mmewezaje kuwa bora kuliko Simba na Sundown. Kama sio utapeli nini
Jioni hizi propaganda uchwara zitazimwq