Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,151
Reaction score
2,983
Tusimung'unye mung'unye maneno.

Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo.

Ukiangalia % kubwa ya maprofesa bongo ni wahaya.

Zile ndizi zina nini?

Nadhani zile ndizi zinaongeza maji na IQ
 
Tusimung'unye mung'unye maneno.
Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo...
Hiyo dharura sasa, IQ kubwa kwao kungechoka vile, kagera ina tofauti gani Lindi?
 
Naona sio IQ kubwa ni suala la accessibility ya miundombinu ya elimu na kua na uchumi mzuri pamoja na muamuko wa elimu, wa koroni walitusaidia sana pamoja na kanisa ya RC,

kutoa mwamko wa elimu, watu wa kagera wana uwezo wa kuhudumia watoto wao kielimu, mimi ni mesoma nyumbani tukiwa na shamba la kahawa, suala ada aijakua shida baba alikua nauwezo wa kukupeleka shule yoyote upendao ili mradi umefaulu
 
KIpimo cha akili ni kuyamudu vyema mazingira yako! Turudi kwenye hoja..wahaya wana akili au hawana akili?
 

Attachments

  • VID-20221229-WA0002.mp4
    7 MB
Wana iq gani zaidi ya kuwa ni watu wenye majivuno na kujiona ni bora kuliko wengine? Wangekuwa wana iq kubwa kuliko wengine wangeibeba tanzania kwa maendeleo makubwa, kule mkoa wanakotoka huo mkoa ungekuwa una maendeleo zaidi ya mikoa yote. Mji wa bukoba ungekuwa ni jiji kubwa lenye miundombinu ya kuvutia kuliko jiji la dar. Bukoba ingekuwa ni mji mkuu wa tanzania
 
Daah uzi wa sigara dawa umefutwa Ila nimeambulia namba
 
Back
Top Bottom