mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Wa koroni au wakoloni,shule umesomea ujinga. poor you!Naona sio IQ kubwa ni suala la accessibility ya miundombinu ya elimu na kua na uchumi mzuri pamoja na muamuko wa elimu, wa koroni walitusaidia sana pamoja na kanisa ya RC,
kutoa mwamko wa elimu, watu wa kagera wana uwezo wa kuhudumia watoto wao kielimu, mimi ni mesoma nyumbani tukiwa na shamba la kahawa, suala ada aijakua shida baba alikua nauwezo wa kukupeleka shule yoyote upendao ili mradi umefaulu