Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

Waambie nshomile wapunguze majigambo, hatuhitaji IQ za kupandisha mabega juu bali tunahitaji mabadiliko chanya...
 
Kuwa profesa ni juhudi.za mtu BINAFSI Kuna makabila kibao watu wana masters sema waliridhika tu kutokana na kutoamua kuendelea Hadi level ya uprofesa KWAIYO wahaya Wana juhudi ya KUSOMA Hadi level za juu
 
Mi napenda dada zenu tu... ila kwenye IQ nahisi umepotea njia.. unaongea kwa historia na sio uhalisia wa sasa
 
Mhaya sio Genius at all yuko kwenye intelligent category, on account of being a prestigious ethnic group,

They are empty on basics or the needed things. They lack common knowledge na ndiomana ni ngumu kuendana na wasio wahaya, wahaya ni islandic community.
 
Uzi umeuandika Saa 1 na dakika 2 na sasa ni Saa 6 Kasoro dakika 11 bado hauna hata Like Moja ( 1 ) tu ikimaanisha kuwa umetuandikia Utopolo mtupu.
 
Eeh oraita ngoja nimwite kokubanza na mugayizi waone hii uzi, eti mnasema wahaya tuna nini,
 
It's natural, kuna mchaga mmoja misheni town anakwambia deal ambayo haina muhaya hafanyi! Hiyo sio deal.

Muhaya darasa la saba ukikutana nae na asiseme elimu yake utajua ni graduate! Its natural tu!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 

Siku zote najua mtu kuwa genius ni abnormality hivyo, sidhani kama inawezekana ethinic group kuwa wote genius Ila kuwa na IQ kubwa ni kawaida

By the way ningetamani siku moja mtu afanye research au documentary kuhusu kabila zilizofanikiwa kama wachagga au wahaya na hata wahindi. Tujue sababu za mafanikio yao labda pengine tutaweza tengeneza taifa lenye productive and desirable population kuliko kuchukulia hivi vitu negatively
 
Umemaliza 💯
 
Uchawi ni IQ ya juu sana assume hata sayansi haujaweza kuutafsiri na kuuzuia
 
Waganda Nyie mnajikausha TU .
Nkumila omukwano nyinyi.
 
Uongo. Wahaya sio wasomi wengi. Hawajazidi wachaga, then wasukuma., then wanyakyusa..wahaya wanajua kujibaraguza tu.
 
Angalia matokeo ya darasa la saba wilaya zenye wahaya. Shule za serikali.

Kwa shule ya msingi wanafunzi wenye akili sana inatakiwa hisabati ziwe haziwasumbui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…