Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

Wa koroni au wakoloni,shule umesomea ujinga. poor you!
 
Kanda ya ziwa yote ni ya wasomi kuanzia watani zetu wa Mara mpaka kwetu Kagera. Tatizo hatuwekezi mikoa yetu ndio maana imechoka. Ukienda Kagera au Mara ni dhoofu hali.
 
Maji dah.....umeharibu.
 
Hiyo dharura sasa, IQ kubwa kwao kungechoka vile, kagera ina tofauti gani Lindi?
Mwambie mhaya atofautishe kati ya asubuhi na hasubuhi

Pili wamegundua Nini? IQ ya kukariri au misifa na umalaya
 
Sie darasani kwetu top ten wahaya 2, wachagga 5, mmasai 1, mnyakyusa 1, na mwanafunz asiye na kabila 1
😂😂 Asiye na kabila alikua kabila gani mkuu?

Kwako mleta mada, kuna kitu kinaitwa "first mover advantage" Binafsi nilikuja kugundua sisi watu wa singida tuna akili sana tatizo tulichelewa sana kwenda shule.
 
Professor ni MWALIMU WA NGAZI YA JUU WA cHUO kIKUU.

Siyo mtu mwenye akili kuliko wasio maprofesa.

Tumia akili.
 
Sio kweli kabisa, ondoa uwongo wako hapa[emoji35]
Idiot!
 
Umesahau sifa yao moja kuu hujaitaja
 
Kuna ukokotozi pori uliofanyika kilingeni jibu lililopatikana!
Walao ndizi kwa wingi!, ref!; Wachaga, Wanyakyusa, Wahaya hawa watu ukikaa nao darasani patachimbika!

Wala nyama sana kwa wingi, ref!; wanyambwa, wakurya, wamasai ni watu wa hasira sana kama unavyoona nyama buchani inatikisika kwa hasira!

Wala samaki!
Samaki yupo majini anaona hhhh...
Kifupi anacho ongea domoni sicho kilicho rohoni!....
Hicho kikokotoo sio rasmi wana jamvi...
 
Wewe ukishakuwa mjinga unaamini kila mmoja ni mjinga kama wewe.
 
Dili ambayo haina mchagga achana nayo, mwisho wa siku mtakamatwa kama ile ya akinia Tibaijuka na akina Kilaini.
 
😂😂 Asiye na kabila alikua kabila gani mkuu?

Kwako mleta mada, kuna kitu kinaitwa "first mover advantage" Binafsi nilikuja kugundua sisi watu wa singida tuna akili sana tatizo tulichelewa sana kwenda shule.
Labda ni WA Singida
 
sisi wazaramu tunawaza shuguli na vigoma akili tutazitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…