Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kumbe na wewe una fujo!UZI UFUNGWE
Kwa comment hii matata...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe una fujo!UZI UFUNGWE
Kwa comment hii matata...
Siwezi mtoa kwa sababu naona mchango wake kwa macho yangu na sio story za kuambiwa mkuu.Kama mama yako ni wa kiume basi mtoe
SawaSiwezi mtoa kwa sababu naona mchango wake kwa macho yangu na sio story za kuambiwa mkuu.
Ni heri waongee ili kutuliza mioyo maana tumechoka matukio ya kutisha.Jinsia ya kiume ipo vulnerable Sana siku hizi...!!!!maana malalamiko ni mengiii...
Wataalam au ndo evolution inatokea?
🙏🏽Kama mama yako ni wa kiume basi mtoe
Duuh umechafukwa! Shemu☺️Yote hiyo sababu huna cha kufanya kazi kufatilia maisha ya watu..!!! Ww balance shobo uone km utaandika nyuzi ndefu km msafara wa siafu
Imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu ,mwanaume atakula kwa jasho.Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku.
Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana tabia za kibinafsi tena ubinafsi wa maisha.
Yaani unakuta Mtu mwenye jinsia ya kike, akizaliwa analelewa na Baba na Mama yake, akikuwa anakuja kulelewa na Mume wake, akitoka hapo anakuja kulelewa na watoto wake. Heh!! Ni lini basi mtawasaidia hao wanaowalea? ni lini mtaanza kuona na nyinyi pia mna mchango kwenye huu utafutaji wa maisha? Nyie sio viumbe fulani maalum kwamba maisha yenu hayahusiani na maisha ya wengine.
Muda huu taongelea wale wamama au mabinti walioolewa, Unakuta Mmama yupo nyumbani kaolewa kila kitu analetewa na mumewe, hilo linaweza likawa sio tatizo sana ila sasa tuje pale ambapo mumewe kaona sasa badala ya kuangaika pekee yake anaona labda amfungulie biashara huyo mke wake, kero ndio inakuja hapo. Mwanamke anaanza kuona kama hizo biashara alitafuta mwenyew na mtu yoyote hatakiwa kutumia hela yake inayotoka kwenye hiyo biashara. Ukimwambia changia matumizi ya nyumbani, utaona anaanza kusema mume si yupo atalipia kila kitu cha nyumbani.
Yaani kwenye manyumba ya siku hizi Baba anatoa kuanzia Ada za watoto Shule, mpaka hela ndogo ndogo kama za ushuru wa taka (3000), unakuta mwanamke kafunguliwa biashara anaingiza zaidi ya 300k kwa siku ila 3000 ya ushuru wa taka anataka bado mume atoe, mshahara wa mfanya kazi wa ndani 50k tuu bado mume ndo atoe, Mume katoa Ada ila mtoto akiwa kapungukiwa Viatu utasikia “Kamwambie Baba yako” mnakera bana.
Kuna Familia naifaham yaani wakati mume yupo vizuri alikuwa akipata hela anahudumia familia na mke wake anamfungulia maduka, ila sasa mambo ya mwanaume sio mazuri sana, kinachokuja kushangaza ni kuwa mwanaume anaweza kufeli 2m akaanza kuangaika kuazima kwa ndugu zake wakati muda huo huo mke wake anasafiri kwenda maulaya kununua mizigo ya dukani. Sasa swali la kujiuliza yale maduka yalifunguliwa kwa ajili ya nani haswa ni kwa hiyo Familia yote Baba mama na watoto ama huyo mwanamke pekee yake? Em achane hizi tabia wanawake wa leo, mkimuangalia Mwanaume mmuone kama ni Mtu ambae unaeenda kufanya nae maisha, sio daraja la kuvuka kwako kimaisha.
Halafu kuna hawa wengine ndio balaa zaidi, muda wote anataka aonekane mwema kwa watoto, mtoto akifanya kosa kila saa utasikia tamwambia baba yako, halafu mfano mtoto akiwa na Uhitaji wa kitu fulani cha hela, ataenda kwa mumewe apewe hela yeye halafu ndio akampe huyo mtoto, rengo amkalilishe mtoto kuwa Baba ni mkatiri sana na yeye ni mtu mpole na mwenye upendo mwingi, mtoto akihitaji hela au kitu chochote atampa ila Baba ni pale mtoto anapokosea tuu ndo atamuona rangi yake, basi na hizo hela pia muwe mnawaambia kamwambieni Baba yenu ili waje wachukue mikononi mwa Baba zao.
Yapo mambo mengi sana ambayo wanawake au mabinti wa sasa wanafanya kibinafsi sana, kwa leo niishie hapo ila rengo wajifunze basi, wawe wasaidizi wa kwenye familia kama inavopaswa kuwa, sio kumuona mwanamme ndio njia ya kutoboa kimaisha.
POVU LINARUHUSIWA.
Anazingua huyu 🤣Duuh umechafukwa! Shemu☺️
Z generation hakuna wanaume kamili.Anazingua huyu 🤣
Hielewi tafsida! Maungo ya mwanamke hupokea sha ha wa, si kutoa sha ha wa!"Mwanamke ameumbiwa kupokea"
Em elezea vizuri ni kuumbwa huku huku ama?
Mbona wengine hutoa vizuri tuu, wenyewe sio wanawake?
Na vipi mwanamke akiachika (mfano single mother) wanapohudumia familia, pale uumbaji unabadilika?
Huoni hii ni kitu ya kujiendekeza tuu kwa sababu fursa inapatikana?
Sio malalamiko (ni kero), inakera tuu. Na ndio maana wadada pia wa kisasa urafiki wa wiki moja, mara njaa, mara kuna msiba, mara kusuka, mara anaumwa dawa.Jinsia ya kiume ipo vulnerable Sana siku hizi...!!!!maana malalamiko ni mengiii...
Wataalam au ndo evolution inatokea?
Haya yote kwasababu mnapuuza, kila tukisema KATAA NDOA hamuelewi,KATAA NDOA,NDOA NI UTUMWA hamuelewi....
Kila siku tunawaambia NDOA Ni kwaajili ya kumkandamiza MWANAUME hamuelewi....
Yamekukuta huko unaleta spika zako humu na Sisi tunakuangalia Tu unyooshwe
Inawezekana upo sawa ila Kutokana maandiko yanasemaLabda nianzie mbali kidogo.
Mwanamke akiwa na mwanae wa kiume hata wa miaka mitatu tu ana imani kwamba ana ulinzi wa kutosha pale alipo.
Biblia inamuagiza mwanaume ampende mwanamke.
Sheria za ndoa zinamuagiza mwanaume kumuhudumia mwanamke.
Style Takatifu ya kufanya mapenzi mwanaume anakaa juu ya mwanamke na mwanaume**ndiye anatoa uume kumuingizia **mwanamke.
Mwanaume atatoa mbegu zake anamuwekea mwanamke na kuwezesha mimba kutungwa.
Hivyo mwanaume* kiasili ni mtu wa kutoa na **mwanamke asili yake ni kupokea.
Hiyo ndiyo kanuni. Kama unabisha utateseka sana!
Ahhahahahahaa ila hata hao unaowaweka ndani bila kuwaoa si bado wanakua wabinafsi?NAKAZIA