Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

Wanawake ni matapeli, tuzae nao kwa mikataba, azae alipwe apite kushoto.

Kukaa ndani na mwanamke kwasasa ni mateso tu, hakuna faida ya moja kwa moja inayoonekana kwa macho.

Kila anachokifanya mwanamke ndani ya ndoa kwa sasa unaweza kukipata bila ndoa na hutapata usumbufu wowote.
 
Imeandikwa mwanamke atazaa kwa uchungu ,mwanaume atakula kwa jasho.

Mwanamke kazi yake ni kukaa tu nyumbani kumstarehesha mume wake .
 
Hielewi tafsida! Maungo ya mwanamke hupokea sha ha wa, si kutoa sha ha wa!
 
Jinsia ya kiume ipo vulnerable Sana siku hizi...!!!!maana malalamiko ni mengiii...
Wataalam au ndo evolution inatokea?
Sio malalamiko (ni kero), inakera tuu. Na ndio maana wadada pia wa kisasa urafiki wa wiki moja, mara njaa, mara kuna msiba, mara kusuka, mara anaumwa dawa.

Hii inaanzia pale tuu ubinafsi na utegemez, sio kwamba hawawez kupata hela zao kam wengine. Ila ubinafsi tuu kwamb kila kitu kiwe chake ndo kinasumbua kwa kweli
 
Inawezekana upo sawa ila Kutokana maandiko yanasema

"Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini." 1 Tim 5:8

Rejea "Lakini mtu YEYOTE" Hapo haijasema mwanaume atunze walio wake, hata mwanamke pia anahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…