Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

Bado hujui kutafsiri.

Haiwezekani maneno mtu yeyote yawe na nguvu kushinda neno mwanaume.

Mstari uliomtaja mwanaume ndiyo wenye nguvu kwa sababu upo specific.

Mtu yeyote ni general term!
 
Mwanamke Hajaumbiwa Shida Kwanini Ateseke Nikiwa Around Acha Watoto Wazuri Wapumzike.
Sasa ukisema hivyo ndio wanazidi kupata shida, single mother wamejaa mtaani, wanalea watoto pekee yao.

kwani hizo sio shida?

Na ukiangalia mavurugano moja wapo ya uhusiano kuvunjika ni pamoja na huo ubinafsi, ila kama wangekua na tabia ya kusaidiana na wenza wao, tena wanaume ndo wanapenda wanawake wa dizain hiyo wanawaita wife material 😃
 
Bado hujui kutafsiri.

Haiwezekani maneno mtu yeyote yawe na nguvu kushinda neno mwanaume.

Mstari uliomtaja mwanaume ndiyo wenye nguvu kwa sababu upo specific.

Mtu yeyote ni general term!
Sawa inawezekana nikawa sijui kutafsiri maandiko, labda utusaidie ni sehem gani hapo wameandika wanaume?
 
Hivi wadada wa zamanii walikuwa hawaombi???
Au Kwa sababu ya utandawazi...matumizi siku hizi yameongezeka?
 
Ila Haya Mambo Hayana Formula Mkuu.

Pale Unaona Unaweza Kuwasaidia Bila Kujali Msaada Wao Saidia Pita Hivi.
 
Ronaldo kawasainisha kabisa..zaa sepa zako...na hakuna kutangaza kuwa huyu ni mwanao..
 
Ronaldo kawasainisha kabisa..zaa sepa zako...na hakuna kutangaza kuwa huyu ni mwanao..
Wenzetu wameshafikia mbali kwenye swala la maamuzi sisi tuu ndo tunazengua.

Japo tunaendelea kuumia ila tunaendelea tuu na uoga wa maisha, tunajisahaurisha kuwa maisha yamebadilika inabidi na sisi tubadilike pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…