Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
- Thread starter
-
- #61
Mmh uombaji ukiwa na shida sio mbaya ila linapokuja na yeye kuchangia ndio ubinafsi unaanzia hapoHivi wadada wa zamanii walikuwa hawaombi???
Au Kwa sababu ya utandawazi...matumizi siku hizi yameongezeka?
Tutatoa ila na nyinyi mkishapata changieni kununua vitu vidogo vidogo vya nyumbani sio kila hela inaenda huko mnakopeleka (sijui mnapelekaga ata wap)Tumepokea na kuahidi kubadilika....
Ila hapo kwny hela nyie toeni tuu...
💪💪💪Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku.
Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana tabia za kibinafsi tena ubinafsi wa maisha.
Yaani unakuta Mtu mwenye jinsia ya kike, akizaliwa analelewa na Baba na Mama yake, akikuwa anakuja kulelewa na Mume wake, akitoka hapo anakuja kulelewa na watoto wake. Heh!! Ni lini basi mtawasaidia hao wanaowalea? ni lini mtaanza kuona na nyinyi pia mna mchango kwenye huu utafutaji wa maisha? Nyie sio viumbe fulani maalum kwamba maisha yenu hayahusiani na maisha ya wengine.
Muda huu taongelea wale wamama au mabinti walioolewa, Unakuta Mmama yupo nyumbani kaolewa kila kitu analetewa na mumewe, hilo linaweza likawa sio tatizo sana ila sasa tuje pale ambapo mumewe kaona sasa badala ya kuangaika pekee yake anaona labda amfungulie biashara huyo mke wake, kero ndio inakuja hapo. Mwanamke anaanza kuona kama hizo biashara alitafuta mwenyew na mtu yoyote hatakiwa kutumia hela yake inayotoka kwenye hiyo biashara. Ukimwambia changia matumizi ya nyumbani, utaona anaanza kusema mume si yupo atalipia kila kitu cha nyumbani.
Yaani kwenye manyumba ya siku hizi Baba anatoa kuanzia Ada za watoto Shule, mpaka hela ndogo ndogo kama za ushuru wa taka (3000), unakuta mwanamke kafunguliwa biashara anaingiza zaidi ya 300k kwa siku ila 3000 ya ushuru wa taka anataka bado mume atoe, mshahara wa mfanya kazi wa ndani 50k tuu bado mume ndo atoe, Mume katoa Ada ila mtoto akiwa kapungukiwa Viatu utasikia “Kamwambie Baba yako” mnakera bana.
Kuna Familia naifaham yaani wakati mume yupo vizuri alikuwa akipata hela anahudumia familia na mke wake anamfungulia maduka, ila sasa mambo ya mwanaume sio mazuri sana, kinachokuja kushangaza ni kuwa mwanaume anaweza kufeli 2m akaanza kuangaika kuazima kwa ndugu zake wakati muda huo huo mke wake anasafiri kwenda maulaya kununua mizigo ya dukani. Sasa swali la kujiuliza yale maduka yalifunguliwa kwa ajili ya nani haswa ni kwa hiyo Familia yote Baba mama na watoto ama huyo mwanamke pekee yake? Em achane hizi tabia wanawake wa leo, mkimuangalia Mwanaume mmuone kama ni Mtu ambae unaeenda kufanya nae maisha, sio daraja la kuvuka kwako kimaisha.
Halafu kuna hawa wengine ndio balaa zaidi, muda wote anataka aonekane mwema kwa watoto, mtoto akifanya kosa kila saa utasikia tamwambia baba yako, halafu mfano mtoto akiwa na Uhitaji wa kitu fulani cha hela, ataenda kwa mumewe apewe hela yeye halafu ndio akampe huyo mtoto, rengo amkalilishe mtoto kuwa Baba ni mkatiri sana na yeye ni mtu mpole na mwenye upendo mwingi, mtoto akihitaji hela au kitu chochote atampa ila Baba ni pale mtoto anapokosea tuu ndo atamuona rangi yake, basi na hizo hela pia muwe mnawaambia kamwambieni Baba yenu ili waje wachukue mikononi mwa Baba zao.
Yapo mambo mengi sana ambayo wanawake au mabinti wa sasa wanafanya kibinafsi sana, kwa leo niishie hapo ila rengo wajifunze basi, wawe wasaidizi wa kwenye familia kama inavopaswa kuwa, sio kumuona mwanamme ndio njia ya kutoboa kimaisha.
POVU LINARUHUSIWA.
Sio kulalamika ni kero hiyo soma vizuri uzi.Z generation hakuna wanaume kamili.
Waliopo hawajielewi kabisa.
Wanaume rijali wanaojielewa wanatoweka kwa kasi kubwa!
Full kulalama!
😆 😂 😆 😂Ukiandika uzi wa lawama kama huu unatakiwa uzi uwe mfupi manake hata sisi tumewachoka
Wanaume wa Sasa, wanakwepa sana majukumu, ndo maana hata wanaona Kama Wanawake Wana take cover. Baba simama kama baba. Timiza majukumu yako. Ukiamua kusema mke naye achange, ndo mwanzo wa kugawa madaraka, jambo ambalo hamlipendi. Tumika ktk majukum yako baba....Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku.
Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana tabia za kibinafsi tena ubinafsi wa maisha.
Yaani unakuta Mtu mwenye jinsia ya kike, akizaliwa analelewa na Baba na Mama yake, akikuwa anakuja kulelewa na Mume wake, akitoka hapo anakuja kulelewa na watoto wake. Heh!! Ni lini basi mtawasaidia hao wanaowalea? ni lini mtaanza kuona na nyinyi pia mna mchango kwenye huu utafutaji wa maisha? Nyie sio viumbe fulani maalum kwamba maisha yenu hayahusiani na maisha ya wengine.
Muda huu taongelea wale wamama au mabinti walioolewa, Unakuta Mmama yupo nyumbani kaolewa kila kitu analetewa na mumewe, hilo linaweza likawa sio tatizo sana ila sasa tuje pale ambapo mumewe kaona sasa badala ya kuangaika pekee yake anaona labda amfungulie biashara huyo mke wake, kero ndio inakuja hapo. Mwanamke anaanza kuona kama hizo biashara alitafuta mwenyew na mtu yoyote hatakiwa kutumia hela yake inayotoka kwenye hiyo biashara. Ukimwambia changia matumizi ya nyumbani, utaona anaanza kusema mume si yupo atalipia kila kitu cha nyumbani.
Yaani kwenye manyumba ya siku hizi Baba anatoa kuanzia Ada za watoto Shule, mpaka hela ndogo ndogo kama za ushuru wa taka (3000), unakuta mwanamke kafunguliwa biashara anaingiza zaidi ya 300k kwa siku ila 3000 ya ushuru wa taka anataka bado mume atoe, mshahara wa mfanya kazi wa ndani 50k tuu bado mume ndo atoe, Mume katoa Ada ila mtoto akiwa kapungukiwa Viatu utasikia “Kamwambie Baba yako” mnakera bana.
Kuna Familia naifaham yaani wakati mume yupo vizuri alikuwa akipata hela anahudumia familia na mke wake anamfungulia maduka, ila sasa mambo ya mwanaume sio mazuri sana, kinachokuja kushangaza ni kuwa mwanaume anaweza kufeli 2m akaanza kuangaika kuazima kwa ndugu zake wakati muda huo huo mke wake anasafiri kwenda maulaya kununua mizigo ya dukani. Sasa swali la kujiuliza yale maduka yalifunguliwa kwa ajili ya nani haswa ni kwa hiyo Familia yote Baba mama na watoto ama huyo mwanamke pekee yake? Em achane hizi tabia wanawake wa leo, mkimuangalia Mwanaume mmuone kama ni Mtu ambae unaeenda kufanya nae maisha, sio daraja la kuvuka kwako kimaisha.
Halafu kuna hawa wengine ndio balaa zaidi, muda wote anataka aonekane mwema kwa watoto, mtoto akifanya kosa kila saa utasikia tamwambia baba yako, halafu mfano mtoto akiwa na Uhitaji wa kitu fulani cha hela, ataenda kwa mumewe apewe hela yeye halafu ndio akampe huyo mtoto, rengo amkalilishe mtoto kuwa Baba ni mkatiri sana na yeye ni mtu mpole na mwenye upendo mwingi, mtoto akihitaji hela au kitu chochote atampa ila Baba ni pale mtoto anapokosea tuu ndo atamuona rangi yake, basi na hizo hela pia muwe mnawaambia kamwambieni Baba yenu ili waje wachukue mikononi mwa Baba zao.
Yapo mambo mengi sana ambayo wanawake au mabinti wa sasa wanafanya kibinafsi sana, kwa leo niishie hapo ila rengo wajifunze basi, wawe wasaidizi wa kwenye familia kama inavopaswa kuwa, sio kumuona mwanamme ndio njia ya kutoboa kimaisha.
POVU LINARUHUSIWA.
Majukumu yapi ni ya mwanaume?Wanaume wa Sasa, wanakwepa sana majukumu, ndo maana hata wanaona Kama Wanawake Wana take cover. Baba simama kama baba. Timiza majukumu yako. Ukiamua kusema mke naye achange, ndo mwanzo wa kugawa madaraka, jambo ambalo hamlipendi. Tumika ktk majukum yako baba....
Na Kusema watoto wataegemea kwa mama, inategemeana na wewe mwenyewe, wafanyie watoto kwa vitendo, Wana akili, na wanaona.... Hawawezi kulishwa maneno na mama Yao,
Soma uzi vizuri,Jomba kama hujataka kuwa Mwanaume, usiwe Baba wa familia, Haijawahi kuwa lelemama. Iko hivi
Mwanaume Timiza Majukumu yako ipasavyo na itakiwavyo, usitake kuonewa huruma ama kupongezwa. Timiza Wajib wako
Basi huo ndio ubinafsi ninao ongelea kwenye uzi ukiwa na rengo la kuwarekebisha hawa viumbe,Uliambiwa usioe ukaoa,ukaambiwa manzi hasomeshwi ukasomesha,ukaambiwa manzi hafunguliwi biashara ukamfungulia,ghafla unastuka manzi kashakukalia kichwani unaanza kulia lia.Nani aliyekutuma?
Ni kweli zitawafikia?Tuma salamu kwa watu watatu🤒
Sio lawama ni kero.Heading uliyoandika umeisoma kweli?
Mtu akisoma haelewi kama ni lawama?
Na hao mababa wa A,B,C,Q Generation ambao mama wamejaza sumu watoto, na watoto hawawakumbuki mababa zao ?Z generation hakuna wanaume kamili.
Waliopo hawajielewi kabisa.
Wanaume rijali wanaojielewa wanatoweka kwa kasi kubwa!
Full kulalama!
Kwamba wale mababa wasiohudumiwa na watoto zao sababu ya sumu za wake zao ni shobo zao?Yote hiyo sababu huna cha kufanya kazi kufatilia maisha ya watu..!!! Ww balance shobo uone km utaandika nyuzi ndefu km msafara wa siafu
Hapo kwenye kuwajaza sumu tunarudi kwenye ubinafsi tena.Na hao mababa wa A,B,C,Q Generation ambao mama wamejaza sumu watoto, na watoto hawawakumbuki mababa zao ?
#YNWA
Yani acha tuu mtuombeee...mm sijui hela nayopewaga inashaje jamani...dah wanawake na hela sijui kuna shida gani..hatuna bajet yani tunanunua vitu hata hatukupangilia...mtusamehe kwakweli...Tutatoa ila na nyinyi mkishapata changieni kununua vitu vidogo vidogo vya nyumbani sio kila hela inaenda huko mnakopeleka (sijui mnapelekaga ata wap)
Hee kumbe hata hela haijulikan inaenda wapi. Duuu simchezo. Me nikajua mnapeleka kwa wazaz wenu ukoYani acha tuu mtuombeee...mm sijui hela nayopewaga inashaje jamani...dah wanawake na hela sijui kuna shida gani..hatuna bajet yani tunanunua vitu hata hatukupangilia...mtusamehe kwakweli...
Tumechokana lakini tunagegedana ndio napo achwa hoiUkiandika uzi wa lawama kama huu unatakiwa uzi uwe mfupi manake hata sisi tumewachoka