Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

Nyie hao wanawake wa ajabu huwa mnawatoa wapi?
 
Brother!! Mwanamke mjinga, mbinafsi HASTAHILI kula pesa yako. Thamani ya mwanaume inakuja condition, hatupendwi BURE, hakikisha unapata RETURN kwa yule anayekula pesa yako.

Mwanaume naive, mjinga wa HISIA ni mtaji wa wanawake wahuni, wabinafsi.

Mwanaume peke yake ndie akufundishe how to be a man, ukimskiza mwanamke kukufundisha hilo [ Shwaaaaa ] hawezi kusaliti Sisterhood yao. Kunguru atamfundisha panzi kuwa kiumbe bora???.

Umetengenezwa mfumo hybrid, ambao umechukua zile codes zinazo wapatia faida wanawake , lakin wanazikataa zile zinazo wataka uwajibikaji.
1.Wanataka kuhudumiwa, lakin kutawalika hawataki, wataimba haki sawa.
2. Wewe ndio baba wa mtoto unatoa huduma na everything, mkizinguana anasema watoto wake anakimbia nao😁.
3. Watakupa mifano mingi kuwa wanaume wa zamani walikuwa hivi na vile [ Kama aliwahi kudate na wanaume wa zamani vile ], lakin hawajioni kuwa hawako sawa kama wanawake wa zamani.
4. Wanaume wote mbwa, Ukimuuliza Nyororo ya baba yako ipo wapi, ugomvi.😁
5. Wanawake wanachagua lini washike mimba, harafu kisha wanakuona wewe ndio uwe responsible, bila kukushirikisha kuhusu kuleta kiumbe.

Kama ilivyo kwa mwanamke, MUNGU kampa uzuri kama baraka na ata tawala kwa nguvu ya uzuri nani atamfaidisha. Wewe mwanaume umepewa Pesa kama baraka, So kuwa na machaguzi nani ale pesa yako, Uzur ukiisha mwanamke anaachwa ,Pesa zikiisha Mwanaume huna thamani.
Heshim pesa yako,acheni kulialia.
 
Hongera kwa kutuliza kichwa na kuleta mawazo fikirishi.
 
PESA ZAO SIKU HIZI WANAHONGA ILI WASUGULIWE PANDE ZOTE.UTAPIGA KELELE HADI UFE HAWASIKII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…