Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

CC: Prof. Adolf Mkenda
 
Wengi wanakimbilia huko sababu ni fani nyepesi na pia JK alirahisisha ajira kwao kabla ya kuja kubanwa
 
Watu wengi wanasoma ualimu kwa sababu ya priority ya kupata mkopo aka Booom
 
 
Update: 05/03/2023

Serikali imetoa nafasi kwa vijana wote wa kuanzia miaka 18 - 35 kusomeshwa bure kwenye vyuo vya ufundi stadi VETA, unatakiwa kwemda kuchukua fomu na kuijaza tu, serikali itakulipia ada kwa 100% , walemavu watapewa kipaumbele
 
Waambie wasime fani Gani yenye ajira!?
 
Wengi wanakimbilia huko sababu ni fani nyepesi na pia JK alirahisisha ajira kwao kabla ya kuja kubanwa
Hakuna tena ajira usijidanganye soma chochote ila jua hakuna kitu Ile accountancy,economics, agriculture,mifugo,mining,......
.ajira hakuna
 
Niliwahi kumpatia huu ushauri Shangazi yangu ambaye anamlipia ada dogo mmoja ambaye alidahiliwa kusoma Bachelor of Education with psychology..

Nilishauri kuwa kulingana na mazingira huyo dogo akasome VETA kutafuta ujuzi.. nilijibiwa kuwa haiwezekani mtu amefaulu vizuri halafu aende akasomee vitu vya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…