Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Upo sahihi, kwa huu ujinga wa hawa wasanii wanatuharibia sana watoto. Yaani siku hizi hata mtoto wa miaka miwili akisikia tu ujinga wa haniiii masikio yanamsimama.
 
Sasa hivi kila kitoto kinaimba "honey "
 
Halafu unakuta jitu zima limetulia linaimba 🀣🀣🀣
 
Hapo ungetuma na kaclip kidogo ukiwa unavheza huo wimbo ungenoga sana kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…