Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

Honey honey!!! Very interesting. Ukiwakuta watoto wanaimba huo wimbo na kuucheza, unaweza ukafikiri wanaelewa maana yake. 😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shighuli ipo😂
Huo wa honey nimeujulia kwa watoto.
Nikashangaa mtoto amepata wapi majina ya ajabu, kumbe ni wimbo.
Hata mimi nilikuwa siujui nikamsikia binti yangu kwenye gari mda nampeleka shule naskia anapiga makelele honey honey nikamuuliza nani kakufundisha akaniambia baba mwalimu alituekea nyimbo ya honey ya zuchu🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…