Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Honey honey!!! Very interesting. Ukiwakuta watoto wanaimba huo wimbo na kuucheza, unaweza ukafikiri wanaelewa maana yake. 😁Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.