Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

A
Aminaaa
Amina sijui kafanyaje
Kuna nyimbo nasikiliza nikiwa bar tu.
Amina na mwajuma
Wanaringa hawa kima
Kumbe wanauza .......akaishia hapoπŸ˜€
Nyimbo nimeijulia dar maana chuga haya makitu huwezi skia kizembe
 
Mkuu soko la muziki ni watoto na wanawake na anafanikiwa kwenye hilo, ukitaka kuvutiwa mimi na wewe hawezi pata maokoto
 
NB: Hakuna aliye hack account yangu, nimeandika kutoka moyoni.
Naona akili zimeanza kurudi Sasa!nikiandika kuhusu honeeeeeey we si ndio ulibisha na kusema niache wivu,na uzee wangu?au nimechanganya ni sinza pazuri ??...... Uzuri ukweli mara nyingi hujitenga 😁😁😁😁😁
 
Naona akili zimeanza kurudi Sasa!nikiandika kuhusu honeeeeeey we si ndio ulibisha na kusema niache wivu,na uzee wangu?au nimechanganya ni sinza pazuri ??...... Uzuri ukweli mara nyingi hujitenga 😁😁😁😁😁
Umenichanganya mkuu. Mimi siandikagi ujinga, nikiandika Zuchu hana talent nitakuwa mwendawazimu.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Tuendelee kizuchu zuchu...!

🎢 Ukuti Ukuti.....
Wa mchanga wa mchanga...
Ukija upepo.... Wapepea..
Pepe apepea .... Pepee Apeeee 🎢🎢
 
[emoji2][emoji2]
Tuendelee kizuchu zuchu...!

[emoji445] Ukuti Ukuti.....
Wa mchanga wa mchanga...
Ukija upepo.... Wapepea..
Pepe apepea .... Pepee Apeeee [emoji445][emoji445]
Dula anataka kulaa,,dula anataka kulaa
Dula hataki andazi anataka chapatii
Kitu flati kitu laini katikati uingize mainii


Msiruhusu watoto wenu waimbe hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Nice alitoka na kufahamika na kupata maokoto kwa nyimbo za kitoto kama hizo, nae amekuja anapita humohumo mwacheni.......huku mtaani watoto wote wa sekondari na msingi kila dakika urawasikia 'honeeeey'
 
Mzanzibar yule kumbuka, cha kuandika anacho
 
Tambua huyo Zuchu bado nae ni mtoto,
Lakini jingine kwa nini usikilize nyimbo za kitoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…