Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #161
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna sisi ambao tunamzimia yeye na chapati yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna sisi ambao tunamzimia yeye na chapati yake
Amina na mwajumaAminaaa
Amina sijui kafanyaje
Kuna nyimbo nasikiliza nikiwa bar tu.
Mkuu soko la muziki ni watoto na wanawake na anafanikiwa kwenye hilo, ukitaka kuvutiwa mimi na wewe hawezi pata maokotoZuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey,mara kwikwi sasa katuletea Chapati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu.
Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi.
Kifupi Zuchu aache kuimba nyimbo zenye utoto utoto kinyume na hapo asahau kuwa msanii mkubwa wa kimataifa.
Naona akili zimeanza kurudi Sasa!nikiandika kuhusu honeeeeeey we si ndio ulibisha na kusema niache wivu,na uzee wangu?au nimechanganya ni sinza pazuri ??...... Uzuri ukweli mara nyingi hujitenga 😁😁😁😁😁NB: Hakuna aliye hack account yangu, nimeandika kutoka moyoni.
Umenichanganya mkuu. Mimi siandikagi ujinga, nikiandika Zuchu hana talent nitakuwa mwendawazimu.Naona akili zimeanza kurudi Sasa!nikiandika kuhusu honeeeeeey we si ndio ulibisha na kusema niache wivu,na uzee wangu?au nimechanganya ni sinza pazuri ??...... Uzuri ukweli mara nyingi hujitenga 😁😁😁😁😁
Wewe ni chawa Pro max inaeleweka na mwenzio hanceUmenichanganya mkuu. Mimi siandikagi ujinga, nikiandika Zuchu hana talent nitakuwa mwendawazimu.
😃😃Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasame mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagika 😁😁😅😅😂😂
Dula anataka kulaa,,dula anataka kulaa[emoji2][emoji2]
Tuendelee kizuchu zuchu...!
[emoji445] Ukuti Ukuti.....
Wa mchanga wa mchanga...
Ukija upepo.... Wapepea..
Pepe apepea .... Pepee Apeeee [emoji445][emoji445]
amina na mwajumaAminaaa
Amina sijui kafanyaje
Kuna nyimbo nasikiliza nikiwa bar tu.
Wanauza niniamina na mwajuma
wanaringa hawa kima
kumbe wanauza....usiseme hivyoo
Mzanzibar yule kumbuka, cha kuandika anachoKalee kakigoli kanaandikiwaa, hizo ngoma za sukari, na chapati ndio kaandika yeyee. Hizo nyingine sio zakee
Kichwaa chake hakiwezi andika ngoma yenye mashairi matamu kama " UTANIUA" hii ngoma kila nikisikiliza namwona lava lava na mbosso. Hawezi, nakataaa
Kuna kitu nataka kukwambia mpenzi ila PM umefunga.Usinambie una kadi langu la clinic bwana Penseli 🤣🤣🤣
😜 haya nakupm mpenzi, unataka kunipa dili la pesa nini?? 😂Kuna kitu nataka kukwambia mpenzi ila PM umefunga.
Kabisa mchongo wa pesa shosti😂😜 haya nakupm mpenzi, unataka kunipa dili la pesa nini?? 😂
Kumbe honey jina la ajabu duh 😄 acha hizo basiShighuli ipo😂
Huo wa honey nimeujulia kwa watoto.
Nikashangaa mtoto amepata wapi majina ya ajabu, kumbe ni wimbo.
Kwa mtoto mdogo kuimba hivyo hapana Kwa kweliKumbe honey jina la ajabu duh 😄 acha hizo basi
Ndio mazingira ya sasa hayoKwa mtoto mdogo kuimba hivyo hapana Kwa kweli