Hayo ni mawazo ya kidiktekta, kwani serikali haiwezi kukosolewa ?
Msimamo wa serikali sio lazima uwe msimamo wa wananchi.
Muacheni Gwajima ateme yake, serikali ifanye kazi yake kuwashawishi wananchi waamini hizo chanjo, sio kila anayepingana mawazo na serikali apigwe rungu.
Japokuwa sikubaliani na Gwajima , lakini naheshimu haki yake ya kutoa mtazamo wake.
Tatizo Gwajima ni muongo, ANASEMA anafanya maongezi na super speciality drs, zungumzia chanjo,
Sasa unajiuliza hivi Gwajima anafikili ni kila super speciality dr anaweza dadavua VIZURI Mambo ya chanjo,
Je anajua Gwajima duniani katika afya Kuna super speciality za aina ngapi, ?
Alitakiwa atwambie anazungumza super speciality dr katika kitengo kipi?
Nimshauri atafute na kuongea super speciality upande wa immunology, tropic infection, angalau atapata elim ya kuwalisha kondoo wake,
SIJAWAI ONA ASKOFU MUONGO KAMA GWAJIMA, NA GWAJIMA ANA AKILI ,AYA ANAFANYA MAIGIZO LABDA KWA MAELEKEZO
KUAMISHA MIJADALA KATIBA, MH MBOWE, MAKATO YA KWENYE MIAMALA N.K , BUT AMEBUMA,NA WANAENDELEA KUBUMA ,ASANTE CHADEMA KWA AKILI KUBWA KUWASOMA ,WALITAKA TUTOA KWENYE RAMANI ILA MOTO UNAANZA KUWAKA ,TUKUTANE tarehe 5/8/2021,