Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Wewe mwanasheria ni mjinga, samahani kwa kukuita mjinga.
Msimamo wa serikali sio lazima uwe msimamo wa wananchi.
Mfano Magufuli alinunua ndege na ulikuwa msimamo wa serikali, unataka kuniambia wananchi wote tulipaswa kukubaliana nae?
Aah ngoja nikupe mfano mwingine
Msimamo wa serikali ya Sasa ni kuweka tozo kwenye miamala, unataka kusema wote tukubali hizo tozo kisa tu ni msimamo wa serikali?
Aah nakupa mfano mwingine
Serikali kwa msimamo wake wamempa kesi mbowe ya ugaidi, unataka kusema wananchi wote tukubaliane na serikali kumpa kesi mbowe ya ugaidi?
Huu ujinga mnasomea wapi wenzetu?