Tutajie fujo ni zipi. Utukanwe na nani ww, utukanwe ili ujipatie umaarufu?Mimi napinga fujo, sipingi haki na uhuru wa kuongea. Fujo na uhuru wa kutoa/ kutoa maoni ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mfano: Mimi sipingi tindo, Mmawia & co, kutoa maoni yenu, ila napinga matusi mnayorusha hapa jukwaani.
Cheap politics huwa hazina future mada
A serious politician huangalia 10 years ahead sio present!!!
Gwajima will rise up as a hero he is not concerned with the now time like you
Magufuli aliibuka hero dhidi ya Lowasa sababu Lowasa ,Membe Etc walikuwa Short sighted like you mleta mada
gwajima is not your size
Umenena vyema.Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
This is a huge thing, usalama washighulikieni Gwajima na Polepole, wanahatarisha usalama wa nchiSerikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.
Msimamo wa Serikali ni msimamo wetu watanzania. Serikali ni yetu na inatupasa kuiheshimu na kufuata uamuzi wake hasa ule ambao unagusa masuala ya afya na umetanguliwa na masuala ya kitaalamu.
Haipendezi na wala si jambo la kufurahiwa kuona mwananchi au kiongozi wa kiserikali, kisiasa au kidini akijitokeza hadharani kupinga na kukejeli chanjo ya UVIKO kama afanyavyo Askofu Gwajima. Askofu Gwajima ni kiongozi wa kidini na kisiasa.
Kuendelea kukosoa chanjo ya UVIKO hadharani kwa Askofu Gwajima ni kuonyesha jinsi anavyoikosoa hadharani Serikali na hata msimamo wa chama chake cha Mapinduzi kinachounda serikali husika. Lazima adhibitiwe kiserikali na kichama.
Kama kuna yeyote wa kupinga chanjo, afanye hivyo kwa kufaidi haki yake ya HIARI ya chanjo husika. Hakuna maana wala faida kujipambanua kwa umma na kuleta suitafahamu isiyo na mantiki. Serikali iheshimiwe!
Waliotaka chanjo mwaka Jana waliitwa majina kibao na kusemwa kuwa wametumwwa na MabeberuSerikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa atachanjwa.