The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga.
Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu.
Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka kiongozi.
Sisi huku tumebaki kutegemea wapinzani akina ZITTO ndo walete mabadiliko Hilo halipo na halitakuja kutokea kama wananchi hawataamua kuwawajibisha viongozi tutaendelea kulalamika na umasikini Huku wachache wakinufaika na keki ya Taifa.
Afrika haina viongozi wazalendo, kidogo afrika ya magharibi na Waarabu wameendelea cause hawatakagi ujinga ila chini ya jangwa la Sahara mambo ni hovyo kabisa.