Ifike mahali nguvu ya umma itumike kuwawajibisha viongozi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga.

Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu.

Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka kiongozi.

Sisi huku tumebaki kutegemea wapinzani akina ZITTO ndo walete mabadiliko Hilo halipo na halitakuja kutokea kama wananchi hawataamua kuwawajibisha viongozi tutaendelea kulalamika na umasikini Huku wachache wakinufaika na keki ya Taifa.

Afrika haina viongozi wazalendo, kidogo afrika ya magharibi na Waarabu wameendelea cause hawatakagi ujinga ila chini ya jangwa la Sahara mambo ni hovyo kabisa.
 
Watanzania ni sawa na ng'ombe wanao swagwa tu.Hawajui wanapo pelekwa ni kama mi nyumbu iliyo mijinga..kutwa kucha kudicuss simba na yanga yakilalamikia maisha magumu...shit hole country..
 
Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga.

Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu.

Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka kiongozi.

Sisi huku tumebaki kutegemea wapinzani akina ZITTO ndo walete mabadiliko Hilo halipo na halitakuja kutokea kama wananchi hawataamua kuwawajibisha viongozi tutaendelea kulalamika na umasikini Huku wachache wakinufaika na keki ya Taifa.

Afrika haina viongozi wazalendo, kidogo afrika ya magharibi na Waarabu wameendelea cause hawatakagi ujinga ila chini ya jangwa la Sahara mambo ni hovyo kabisa.

Ngoja wanaojiita magwiji wamalize hadithi za ngono na yale mambo yetu na kina Mayele kwanza.
 
Sisi tunajua kuzungumzia mambo ya masanja na katibu wake,masha na mafufuuu
 
Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga.

Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu.

Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka kiongozi.

Sisi huku tumebaki kutegemea wapinzani akina ZITTO ndo walete mabadiliko Hilo halipo na halitakuja kutokea kama wananchi hawataamua kuwawajibisha viongozi tutaendelea kulalamika na umasikini Huku wachache wakinufaika na keki ya Taifa.

Afrika haina viongozi wazalendo, kidogo afrika ya magharibi na Waarabu wameendelea cause hawatakagi ujinga ila chini ya jangwa la Sahara mambo ni hovyo kabisa.
Katiba mpya, iwe na kifungu cha kuwawajibisha kuanzia rais, iwe na muongozo wa kuwajibishana na ijilinde kwa yeyote atakayeenda kinyume chale. Ya sasa inavunjwa na kudharauliwa na wake wake wanaoapa kuilinda, tena hadharani, na hakuna wa kuwafanya lolote.
 
Back
Top Bottom