kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
kambi ya mbowe inamfunga Dr slaa korokoroni kisa ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usijiunge sasa kwani Mbowe si amekuwa mwenyekiti kwa miaka 21Mbowe akishinda najiunga rasmi Chadema
Nafikili hadi sasa swali lako limeshapata jawabu sahihiMikoa mingapi imesema?
Mbowe anashughulika na wapiga kura huku Lissu akishughulika na mashabiki.
Kwani Mbowe angeamua kualika wa watu waseme si tungechanganyikiwa tumsikilize nani?. Wakuu wa Kanda na Mikoa wote wanamtaka Mbowe. Wewe huogopi?
Mtu usiejulikana hivi kwanin ccm mnamshabikia Gaidi Mbowr?Mitandao inamzika rasmi mhuni wa ubelgiji.
Kwani hujaifuta tu bado mpk leo?Mbowe akishinda naifuta Chadema moyoni mwangu
Kumbe wewe mtoto wa shule rudi darasani acha kupayuka humuLissu ni Mropokaji na wafuasi wake ni waropokaji. Mbowe anawajua wapiga kura sio wa mitandaoni. Anajua namna ya kuwafikia na kuwaomba kura bila kupiga kelele!
Hesabu yako haielewekiWapiga kura wapo 1000 sasa watu 50 au 60 watawasemeaje watu zaidi ya 900. Saa nyingine vijana wa chadema muwe mtafakari mambo kabla ya kuandika.
Kama haya si siku zote mnaimba kwa ccm.Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"
Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,
HOJA YANGU,
1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?
2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?
3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?
4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?
5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?
NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
Hawezi kushinda kwa sanduku la kura hata kidogo sijui mbinu ipi ataitumia Ili aendelee kuwa mwenyekitiMbowe akishinda naifuta Chadema moyoni mwangu
Twende na Lissu acha kelele.Huu uchaguzi umefanya tuwajueutafiti wajinga wengi!! Halafu Lissu alivyokosa hekima anasema kabisa kagombea uenyekiti sababu wenje kaitaka nafasi yake!! Hapo katangaza shari na sikuwahi jua ana akili Za kitoto namna hii!!!
Mwenyewe anasema hao ni AIWataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"
Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,
HOJA YANGU,
1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?
2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?
3. JE, WANAOGOPA NINI KUJITOKEZA KWA UMMA?
4. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI WASIRI?
5. JE, KAMA SIASA NI NAMBA NA USHAWISHI KWA MBOWE VIKO WAPI?
NASISITIZA, LISSU AMESHINDA KWA ZAIDI YA 80% NA KAMA MBOWE ATASHINDA JUENI KABISA KAIBA KURA AU KAHONGA WAJUMBE HAWA HAWA WA LISSU.
Salama ya CHADEMA ni Lissu kushinda. Akishinda mwana ccm Mbowe, basi basi...Hawezi kushinda kwa sanduku la kura hata kidogo sijui mbinu ipi ataitumia Ili aendelee kuwa mwenyekiti
Yes mm ni mpumbavu. Unalo jengine la kunambia?We jamaa mpumbavu sana, rudisha pesa ya FAM, vinginevyo mtazitapika
..Bado anawashawishi huko kwenye malodge....mbowe bwana, Bado anaamini yaleyale ya ccm kuwapa pesa wajumbe😂😂Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"