MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Katika kipindi cha miaka takribani 10 hivi tumeona wimbi la wasomi waki behave na ku-perform kwa namna inayoaibisha taaluma zao, kushusha thamani na integrity ya awards za taaluma walizopata na kuvitia aibu vyuo walivyosoma.
Mifano ni mingi sana ila kwa uchache, wapo ma Prof na ma Dr walioshindwa kuongea ata sentensi mbili za kiingereza kwa ufasaha, wapo ma-professor waliokiri kutolewa jalalani, yupo medical doctor aliyekataa chanjo ya covid 19 kwenye utawala mmoja na kuikubali kwenye utawala mwingine na sasa tunaye Dr. wa uchumi aisiyejua taxable transactions.
Haya yote yanayotokea vyuo vyetu viko kimya yaani kwa maana nyingine vinakiri kwamba hayo ndiyo mambo waliyokua wanawafundisha hao watu.
Kwa kulinda heshima na hadhi ya kitaaluma, vyuo vyetu vinapaswa kujitenga na huo upuuzi. na upumbavu. Vyuo vifanye maamuzi magumu ya kuwanyang'anya hao watu academic awards walizowapa.
Hii itakua fundisho kwa watu wote kwamba unapopewa academic award unapaswa kuishi kwa namna itakayokidhi matarajio ya hiyo award.