Ifikie hatua tuachiane nafasi

Huyo mshkaji ni mtoto
 
Mh mambo n mawili umpate anayekubana sana au asiyekubana hadi unajiuliza huyu kweli anaenipenda huyu[emoji23]
 
Mawasiliano imara ndio nguzo kuu ya mapenzi yalio hai. Ukiona mawasiliano baina yenu yamekufa bila sababu ya msingi ama unatumia nguvu sasa kumtafuta mwenzio yeye hakutafti jua hamna common goal tena. 🤣🤣🤣

Uko sahihi kuhusu mawasiliano. Pia napenda mawasiliano imara.
 
🤣 Atalalamika tu
 
Naunga mkono hii
 
Na huo ndio ukweli.

ERoni kuja utoe maoni😂😂
 
Mahisiano mapya hata bado sijampenda… ndio najitafuta ili nimpendee halafu ananiganda
🤣 Jifunze kujiheshimu vya kutosha kiasi cha kusema hapana kama hauna hisia na mtu. Usijilazimishe kuwa na mtu ikiwa nafsini hujamridhia hata awe Ginimbi au Bhakresa
 
Maua yako haya hapa chukua 🌹🌷

Experiences ndio zinatuboresha, wenye kujitambua vyema kwenye mahusiano wengi wamepitia magumu mno wakabaki na somo linalowasaidia kwenye maisha ya mahusiano.
Nakupa 🌷yako .....we learn from mistakes

Kinachowafelisha watu ni kurudia njia zile zile zilizowaangusha badala ya kukaa chini,kutafakari na kurekebisha makosa ya mahusiano ya nyuma
 
Dah afadhali umeelewa ninachomaanisha...Kikubwa tuingie kwenye.mahusiano na watu tuwapendao pasi na shaka itatuondolea kero ndogondogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…