Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣🤣Kwani we inakuudhi Nini?mi piga tu hata mara elfu as long as Niko sehemu Salama I don care🤣Hiyo mara Kwa mara sasa🧐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Kwani we inakuudhi Nini?mi piga tu hata mara elfu as long as Niko sehemu Salama I don care🤣Hiyo mara Kwa mara sasa🧐
🤣Bas mi nimechelewa sanaKwa uzoefu wangu wa mahusiano nikijumlisha na ninayoona kwa mashostisto zangu na wafanyakazi wenzangu wa kiume ni kwambaaaa….
Mtu ukimchoka au ukiwa haumpendi simu zake huwa ni kero sanaa. Na kila saa lazima uwe busy kwake hata kama unachat na watu wengine ikiingia ya kwake unaipotezea. Hata kama upo online whatsapp unaview status za watu (maana yake haupo busy) text yake ikiingia ni kero tu hata kujibu.
Ila kwa mtu ambaye unampenda kweli na penzi ni la motoo hamna ubusy utakaofanya ushindwe kuwasiliana naye. Na hata ukiwa busy ule muda mdogo ukipata ukishika simu tu lazima uangalie kwanza kama alikutafuta. Ukikuta kakutafuta unafuraaaahi mwenyewe unamjibu ukikuta holaaa unanyong’onyea unamtafuta wewe.
Watu wapo sehemu mtandao unasumbua ila wanapanda hadi juu ya miti wa wasiliane na wapenzi wao. Ni suala la kumpenda mtu tu hakunaga ubusy tofauti na hapo ni UMALAYA unaona simu za kila saa zitakuharibia.
HUKIKUTA MWANAUME WAKO ANATAKA MPEANE NAFASI HIYO NI TAA NYEKUNDU... PIGA CHINI...Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwezi kutaka kilakitu chake ukijue. Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli).
Sasa ndugu, dk 2 nyingi mara video call, simu muda wote, mara hujibu sms Kwa wakati[emoji15] nyiee, tena bora kidogo mwanamke akichungwa kidogo (nimesema kidogo kwa sababu tuna majukumu pia hivyo isiwe too much) lakini si mwanaume. Waweza dhani ndo waimarisha penzi kumbe ndiyo wamkimbiza.
Haya sasa msije sema sijawaambia.
Sitaacha kuingia humu i must keep my old friends closer ,am here to stay dia,tupo pamoja my dia now and forever [emoji3059]Nimekumiss pia. Nilidhan umeacha kutumia Jf jaman usinifanyie hivyo tena
Umeeleza kama ilivyopaswa kuelezwa...Kwa uzoefu wangu wa mahusiano nikijumlisha na ninayoona kwa mashostisto zangu na wafanyakazi wenzangu wa kiume ni kwambaaaa….
Mtu ukimchoka au ukiwa haumpendi simu zake huwa ni kero sanaa. Na kila saa lazima uwe busy kwake hata kama unachat na watu wengine ikiingia ya kwake unaipotezea. Hata kama upo online whatsapp unaview status za watu (maana yake haupo busy) text yake ikiingia ni kero tu hata kujibu.
Ila kwa mtu ambaye unampenda kweli na penzi ni la motoo hamna ubusy utakaofanya ushindwe kuwasiliana naye. Na hata ukiwa busy ule muda mdogo ukipata ukishika simu tu lazima uangalie kwanza kama alikutafuta. Ukikuta kakutafuta unafuraaaahi mwenyewe unamjibu ukikuta holaaa unanyong’onyea unamtafuta wewe.
Watu wapo sehemu mtandao unasumbua ila wanapanda hadi juu ya miti wa wasiliane na wapenzi wao. Ni suala la kumpenda mtu tu hakunaga ubusy tofauti na hapo ni UMALAYA unaona simu za kila saa zitakuharibia.
[emoji1635] Naunga mkono hoja.Kwa uzoefu wangu wa mahusiano nikijumlisha na ninayoona kwa mashostisto zangu na wafanyakazi wenzangu wa kiume ni kwambaaaa….
Mtu ukimchoka au ukiwa haumpendi simu zake huwa ni kero sanaa. Na kila saa lazima uwe busy kwake hata kama unachat na watu wengine ikiingia ya kwake unaipotezea. Hata kama upo online whatsapp unaview status za watu (maana yake haupo busy) text yake ikiingia ni kero tu hata kujibu.
Ila kwa mtu ambaye unampenda kweli na penzi ni la motoo hamna ubusy utakaofanya ushindwe kuwasiliana naye. Na hata ukiwa busy ule muda mdogo ukipata ukishika simu tu lazima uangalie kwanza kama alikutafuta. Ukikuta kakutafuta unafuraaaahi mwenyewe unamjibu ukikuta holaaa unanyong’onyea unamtafuta wewe.
Watu wapo sehemu mtandao unasumbua ila wanapanda hadi juu ya miti wa wasiliane na wapenzi wao. Ni suala la kumpenda mtu tu hakunaga ubusy tofauti na hapo ni UMALAYA unaona simu za kila saa zitakuharibia.
Ahhhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] za kuambiwa wachanganye na zao tupo site kujifunza[emoji14]Nakuangalia tu unavyopotosha wenzio hapa[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika site Kuna mengiAhhhhh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] za kuambiwa wachanganye na zao tupo site kujifunza[emoji14]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipe Mimi baby wako huyo nammudu ndio napendaga wenye pigo hizo,,
Grii griii
"Baby"
"Uko wapi?
Saloon bby
Unafanya Nini?(utasema saloon hajui wanafanyaga Nini [emoji1787][emoji1787])
Nasuka baby
Yaani tangu asubuhi unasuka,unasuka Nini?wewe ni muongo sana?hata sikuelewi siku hizi,hata Jana unajifanya ulikuwa kanisani kumbe hata hukwenda!
Jamani baby
Jamani Nini?kwanza uko saloon gani?
Niko pale Kwa mama Asnat
Nakuja hapo,na nisipokukuta tutajuana nakwambia[emoji35][emoji35][emoji35]!
After 37 minutes.....
Grii griii
"Baby"
"Hebu Toka hapa nje"
Me:najinunisha sasaa
Him:mbona umenuna Sasa,umependeza lakini mama....kamalizie basi,nakusubiri pale Kwa mangi...
Me:sawa
Ukimaliza mnaenda zenu kula kitimoto mnachekacheka mnabusiana mnamaliza siku....
Sasa mtu anajifanya busy muda wote utasema yeye ni CAG....hizi mambo anaziwezea mtaalamu kabisa my kaka Deep Pond
Wao wengi wamezaa nakuzalisha hakuna single hata siku moja usishangae mapadree wanafukuzwa wakisha julikana wanafamilia . Single umeamua wewe na nibora mtu aolewe maana unadhani kupeana kisela huadhiriki unaadhirika sana maana upo tu huna hata mtu wakukusaidia katika maisha haya . Ukiumwa , ukihitaji support yeyote , huna usaidizi wowote . Aisee ni bora uwe una mume anafaida kuwa na mke ni faida sanaKila mtu na maisha yake jambo la lazima kwako sio la lazima kwangu au kwa mtu yoyote.
Aliekuambia mwanamke lazima aolewe nani ? basi kusingekuwepo na watawa wa kikatoliki kama unafikiri kila mwanamke lazima aolewe au kila mwanaume lazima aoe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona Nyegezi Kona...Mapenzi ya kutafutana mkiwa nyegezi kona!!!! Kila kitu kwa kiasi jamani kah
Hayo kwako yana faida sio kwa wote.Wao wengi wamezaa nakuzalisha hakuna single hata siku moja usishangae mapadree wanafukuzwa wakisha julikana wanafamilia . Single umeamua wewe na nibora mtu aolewe maana unadhani kupeana kisela huadhiriki unaadhirika sana maana upo tu huna hata mtu wakukusaidia katika maisha haya . Ukiumwa , ukihitaji support yeyote , huna usaidizi wowote . Aisee ni bora uwe una mume anafaida kuwa na mke ni faida sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama Asnat was just chilling... Then Booom...
Atakuwa yule wa Mwenge huyu...
[/QUOTE
🤣🤣🤣🤣 Acha kabisaa....baby anamjua Hadi mama Asnat Kwa gubu lake....
Wapi huko makii😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona Nyegezi Kona...
Umenikumbusha mbali sana..
Mwanza hiyo kuna Kona inaenda SAUT...Malimbe..Wapi huko makii[emoji23][emoji23]
Kweli mkuu hakuna ubize kwenye mapenzii ya kweliKwa uzoefu wangu wa mahusiano nikijumlisha na ninayoona kwa mashostisto zangu na wafanyakazi wenzangu wa kiume ni kwambaaaa….