Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣🤣Watu tumeona kina Mandela na walikuwa babies tu mbele ya winnieUkauzu lazima ukiwa father of ze nation😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Watu tumeona kina Mandela na walikuwa babies tu mbele ya winnieUkauzu lazima ukiwa father of ze nation😀
Kwako acha nianze tu 😂Bahati ya nini na wewe ushaanza [emoji23][emoji23]
Mahusiano ya hivi ya kuwa karibu muda mwingi,au kila wakati namtafuta fulani huwa kuna changamoto za kupiga hatua za kimaendeleo,maana kuna wakati mtu unapata tender,kazi,madili nk nje alipo mwenza wako,sasa kwa kuwa utaendekeza mapenzi na yeye hataki mkae mbali ana visababu vyake vya kiwivu na za kibinafsi basi mtachelewa sana kupiga hatua za kimaendeleo ,na mara nyingi mkiachana unakuta mmeshapotezeana muda na kuna ugumu kuanza upya unaona dunia imekuelemea umeshapoteza fursa nyingi.mapenzi yana nguvu sana kuwabadilisha watuKuna mwanamke atakuweka bize afanye yake kirahisi uamini anakupenda sana.Ila asilimia kubwa wanawake Wa sasa wanapenda sana bampa to bampa Na hyo ndio kasumba kwa sis watafutaji hatupend hayo mapenz.Ila ukimpata mwanamke muelewa anajua wakat huu uko kazin NJ muda Wa kaz.sasa kuna hiv vingne havielew ndio shida.bila kumpa muda wako haamini kama una mpenda vinataka 24/7 muwe busy kucall,SMS,sijui mambo gani huko ni buguza tupu
Mi mahusiano ya kupigiana simu kila wakati kama unamjulia mgonjwa hali siyawezi. Nashukuru tangu kipindi cha uchumba tulikua tunapigiana simu mara mbili au tatu tu in a day. Na mambo yalienda. Shida ni ukiwa nje ya mkoa mliopo ndo tabu inaanzia hapo. Ntapigiwa simu hizo, na nisipopokea bahati mbaya mtu anapanic vibaya. "Utaskia upo mbali na nyumbani afu hupokei simu inakuaje"Nipe Mimi baby wako huyo nammudu ndio napendaga wenye pigo hizo,,
Grii griii
"Baby"
"Uko wapi?
Saloon bby
Unafanya Nini?(utasema saloon hajui wanafanyaga Nini [emoji1787][emoji1787])
Nasuka baby
Yaani tangu asubuhi unasuka,unasuka Nini?wewe ni muongo sana?hata sikuelewi siku hizi,hata Jana unajifanya ulikuwa kanisani kumbe hata hukwenda!
Jamani baby
Jamani Nini?kwanza uko saloon gani?
Niko pale Kwa mama Asnat
Nakuja hapo,na nisipokukuta tutajuana nakwambia[emoji35][emoji35][emoji35]!
After 37 minutes.....
Grii griii
"Baby"
"Hebu Toka hapa nje"
Me:najinunisha sasaa
Him:mbona umenuna Sasa,umependeza lakini mama....kamalizie basi,nakusubiri pale Kwa mangi...
Me:sawa
Ukimaliza mnaenda zenu kula kitimoto mnachekacheka mnabusiana mnamaliza siku....
Sasa mtu anajifanya busy muda wote utasema yeye ni CAG....hizi mambo anaziwezea mtaalamu kabisa my kaka Deep Pond
[emoji3059][emoji3059] haya ukawe na siku njema.Kwako acha nianze tu [emoji23]
Hii ni bahati hapa kiroho kwatu [emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] train your mind kuona mitazamo yako kwenye chanya na sio hasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa utawaza kwanini mke/mume wangu hajatuma msg atakua analiwa jamani, kama hujui wanawake wanawatesa sana wanaume wenye wivu akiona una wivu ndiyo furaha yake utaipata yani anawezajikausha tu anajua anaupeleka race moyo wakoUkiwa katika ndoa usipoona msg hata moja ya mkeo au mumeo ndio utaelewa kuwa Mume au mke yuko busy Na sidechick huko nje.huku katika mahusiano watu huchukulia rahis sana.ngoja Hii Ngoma iwe kinyume nyume chakee
🤣Huyo wako utanipea pia?Nipe Mimi baby wako huyo nammudu ndio napendaga wenye pigo hizo,,
Grii griii
"Baby"
"Uko wapi?
Saloon bby
Unafanya Nini?(utasema saloon hajui wanafanyaga Nini 🤣🤣)
Nasuka baby
Yaani tangu asubuhi unasuka,unasuka Nini?wewe ni muongo sana?hata sikuelewi siku hizi,hata Jana unajifanya ulikuwa kanisani kumbe hata hukwenda!
Jamani baby
Jamani Nini?kwanza uko saloon gani?
Niko pale Kwa mama Asnat
Nakuja hapo,na nisipokukuta tutajuana nakwambia😡😡😡!
After 37 minutes.....
Grii griii
"Baby"
"Hebu Toka hapa nje"
Me:najinunisha sasaa
Him:mbona umenuna Sasa,umependeza lakini mama....kamalizie basi,nakusubiri pale Kwa mangi...
Me:sawa
Ukimaliza mnaenda zenu kula kitimoto mnachekacheka mnabusiana mnamaliza siku....
Sasa mtu anajifanya busy muda wote utasema yeye ni CAG....hizi mambo anaziwezea mtaalamu kabisa my kaka Deep Pond
Huyu CAG nakupea tu mbona😁😁😁🤣Huyo wako utanipea pia?
🤣Mi mahusiano ya kupigiana simu kila wakati kama unamjulia mgonjwa hali siyawezi. Nashukuru tangu kipindi cha uchumba tulikua tunapigiana simu mara mbili au tatu tu in a day. Na mambo yalienda. Shida ni ukiwa nje ya mkoa mliopo ndo tabu inaanzia hapo. Ntapigiwa simu hizo, na nisipopokea bahati mbaya mtu anapanic vibaya. "Utaskia upo mbali na nyumbani afu hupokei simu inakuaje"
Hapa ataanza na gia ya watoto. Ushawasiliana na watoto nyumbani au uko busy tu na mambo yako. Kifupi Mawaliano ni mazuri yanaimarisha ndoa lakini kusizidi huko kupigiana kila muda kunakera.
Eeh Yuko sawa,Kwa Nini uwe mbali na nyumbani halafu ukae kimya,piga simu mara Kwa mara😁😁😁Mi mahusiano ya kupigiana simu kila wakati kama unamjulia mgonjwa hali siyawezi. Nashukuru tangu kipindi cha uchumba tulikua tunapigiana simu mara mbili au tatu tu in a day. Na mambo yalienda. Shida ni ukiwa nje ya mkoa mliopo ndo tabu inaanzia hapo. Ntapigiwa simu hizo, na nisipopokea bahati mbaya mtu anapanic vibaya. "Utaskia upo mbali na nyumbani afu hupokei simu inakuaje"
Hapa ataanza na gia ya watoto. Ushawasiliana na watoto nyumbani au uko busy tu na mambo yako. Kifupi Mawaliano ni mazuri yanaimarisha ndoa lakini kusizidi huko kupigiana kila muda kunakera.
Binafsi sielewi Kwa Nini mtu anakasirika akipewa attention na bby wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi napenda mapenzi ya mawasiliano Kwa sababu Nina experience ya mapenzi ya kutojuana ratiba yanakufaga natural death.....Kikubwa ni kujua ratiba za mwenzio basi
🤣Mahusiano ya hivi ya kuwa karibu muda mwingi,au kila wakati namtafuta fulani huwa kuna changamoto za kupiga hatua za kimaendeleo,maana kuna wakati mtu unapata tender,kazi,madili nk nje alipo mwenza wako,sasa kwa kuwa utaendekeza mapenzi na yeye hataki mkae mbali ana visababu vyake vya kiwivu na za kibinafsi basi mtachelewa sana kupiga hatua za kimaendeleo ,na mara nyingi mkiachana unakuta mmeshapotezeana muda na kuna ugumu kuanza upya unaona dunia imekuelemea umeshapoteza fursa nyingi.mapenzi yana nguvu sana kuwabadilisha watu
Ni sawa lakini kuna bahati mbaya dear. Kuna siku nimefokewa mpaka nikalia kila nnavomueleza haelewi. Naomba msamaha lakini bado anarap dah basi tu.Eeh Yuko sawa,Kwa Nini uwe mbali na nyumbani halafu ukae kimya,piga simu mara Kwa mara[emoji16][emoji16][emoji16]
Siku njema ianzie kwako mpenzi 😘[emoji3059][emoji3059] haya ukawe na siku njema.
Na tunaangukia pua KweliHivi unajua ukiwa busy kutafuta wa kuishi nae utaangukia pua maana chaguzi zinakua na criteria na kwa kuwa wanadamu hatujakamilika sio rahisi sana kumpata mwenye vigezo vyote,cha kufanya ishi kama hutafuti ila usiache kuanzisha mahusiano,hakika miongoni mwa hayo mahusiano utapata mtu utainjoi nae sana mtu mtakaelewana nae vizuri.
Daaah,Sasa ukitoka kazini akaniambia bby natoka sehemu ni na washkaji nitachelewa kidogo Kuna tatizo gani?yaani Kuna Siri gani ya mkeo kutojua unatoka job muda gani?Ujue ratiba ili uanze kutengeza scene asipokutafuta unaanza aahhhh tayari kashaenda kwa malaya zake....swala hapa umuamini tu mwenza wako maana kama mtu ni tabia yake kuchepuka hata umbane kiasi gani tabia ni tabia tu,so jaribu mbadilisha kwa tabia zako nzuri