Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Mkuu naogopa kufokewa hapa kwa kuchelewesha muendelezo maana ni series yenye episodes za kutosha....itoshe tu kusema nilitoka na somoTupe ushuhuda wako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naogopa kufokewa hapa kwa kuchelewesha muendelezo maana ni series yenye episodes za kutosha....itoshe tu kusema nilitoka na somoTupe ushuhuda wako mkuu
[emoji23][emoji23]Mama Jane bye bye
Hata wewe najua unampendaga mke wako unakuwa kauzu aaah sio poa🤣🤣Mke anapigiwa simu sensitive tu. Mtabebishana nyumbani😀
Una umri gani wwHaha utanilaani bure Mimi wa type hiyo si wataki, maana jamaa alianza hadi kunitishia maishaa… na kwa akil zake yule anaweza jiua na yeye….
Mimi bado mdogo sitaki kufa mapemaa kisa penzi
Hakika ndivyo ilivyo kwenye haya maisha.Yes na wanasema kisichokuua kinakuimarisha.....nimepokea maua[emoji120]
Umemisika pia kipenzi.Mambo safi umemisika.
Ukauzu lazima ukiwa father of ze nation😀Hata wewe najua unampendaga mke wako unakuwa kauzu aaah sio poa🤣🤣
Nashukuru sana ni bahati hakika siku njema huanza asubuhi 😉Umemisika pia kipenzi.
Mimi huwa nina muda wa ku chase. Ukipita huo muda nakuwa mtu tofauti😀 its either nipate nachokitaka au niendelee na maisha yangu.Halafu kwa hawa jinsia ya kike ukiwa easy available the less interested she will be ndio saikolojia ya hawa viumbe
[emoji16][emoji16][emoji16]dunia haiko fair kwanini lakiniHizo text hata za salam nazitafuta sizipati
Bahati ya nini na wewe ushaanza [emoji23][emoji23]Nashukuru sana ni bahati hakika siku njema huanza asubuhi [emoji6]
Kila mtu na maisha yake jambo la lazima kwako sio la lazima kwangu au kwa mtu yoyote.Hadi lini lazima uolewe ukalee familia
🤣 Kumbe unapenda mabaharia😀Weeee sitaki kugandwa napenda mwanaume mwenye soko sio kunikalia kooni
Usisahau kuwa na hela, 🤣maskini haliliwagiUmesema vyema mkuu
Wewe kuwa mysterious, unpredictable, confident utakuwa akilini mwake kila wakati
[emoji23][emoji23][emoji23] mmeanzaUsisahau kuwa na hela, [emoji1787]maskini haliliwagi
🤣 Ndio mazuri hayo lazma kila mtu awe busy kuipigania kesho yakeMapenzi ya kutafutana mkiwa nyegezi kona!!!! Kila kitu kwa kiasi jamani kah
Ndio hali halisi[emoji23][emoji23][emoji23] mmeanza
Mi hapana siyataki🤣 Ndio mazuri hayo lazma kila mtu awe busy kuipigania kesho yake