Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

We dada umekwiva kwenye mahabat, darasa lako lifunguliwe wapi upige hela [emoji28]
Watu wengi kinachowatesa ni huo uwezo wa kuachia maisha yaendelee bila watu fulani kwenye maisha yao. Na hii ni mateso makali mno.
Nipewe maua yangu si eti mkuu[emoji1787][emoji1787] BTW: niliwahi pitia experience ngumu sana so nlivyotoka hapo nikasema ntakua mfano
 
Nipe Mimi baby wako huyo nammudu ndio napendaga wenye pigo hizo,,
Grii griii

"Baby"

"Uko wapi?

Saloon bby

Unafanya Nini?(utasema saloon hajui wanafanyaga Nini 🤣🤣)

Nasuka baby

Yaani tangu asubuhi unasuka,unasuka Nini?wewe ni muongo sana?hata sikuelewi siku hizi,hata Jana unajifanya ulikuwa kanisani kumbe hata hukwenda!

Jamani baby

Jamani Nini?kwanza uko saloon gani?

Niko pale Kwa mama Asnat

Nakuja hapo,na nisipokukuta tutajuana nakwambia😡😡😡!

After 37 minutes.....
Grii griii
"Baby"

"Hebu Toka hapa nje"

Me:najinunisha sasaa

Him:mbona umenuna Sasa,umependeza lakini mama....kamalizie basi,nakusubiri pale Kwa mangi...

Me:sawa
Ukimaliza mnaenda zenu kula kitimoto mnachekacheka mnabusiana mnamaliza siku....

Sasa mtu anajifanya busy muda wote utasema yeye ni CAG....hizi mambo anaziwezea mtaalamu kabisa my kaka Deep Pond
 
Nipewe maua yangu si eti mkuu[emoji1787][emoji1787] BTW: niliwahi pitia experience ngumu sana so nlivyotoka hapo nikasema ntakua mfano
Maua yako haya hapa chukua 🌹🌷

Experiences ndio zinatuboresha, wenye kujitambua vyema kwenye mahusiano wengi wamepitia magumu mno wakabaki na somo linalowasaidia kwenye maisha ya mahusiano.
 
Wa hivyo nilimshindwa… wa kila saa mbona kimya, nijibu basi, inamaana huoni call zangu.. hujapokea simu anapiga mpk mara 10 halafu ukimtafuta ujue shida lawama 200 baada ya hapo niambie..[emoji19][emoji19] Na umemwambia kabisaa umebanwa utamcheck ila kila saa kila saa

Hii ndy short relationship yangu ya 2 months… hata bure simtaki mtu wa hivi Halafu ni king’ang’anizi [emoji23]
🤣 King'ang'anizi kivipi sasa, mkipendana si lazma mung'ang'aniane au ulimfanya mwenzio Dildo tu
 
Back
Top Bottom