wengi hawajui wanataka nini,mimi kwa upande wangu ni kwamba nikiwa kwenye majukumu yangu simu haina nafasi unless ni ya mambo ya kazi,tuma smms nitajibu ile yenye logic the rest naziacha na simu huwa sipokei.nje ya majukumu ndio narejea huko,Bond ni desire na understandability kati ya mtu na mtu ukielewa mtu ni wa aina gani,anamisingi gani,hulka gani kamwe huwezi kuwa na wasiwasi ila ukiwa kichwa maji kumuelewa mtu ndio taabu,kabla hujakubali kudate na mtu msome kwanza anapenda nini,hapendi nini,ana misimamo gani na hulka gani kisha jiulize utaendana nazo?