Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ngoja akuache wiki bila sms moja uone utakavyopagawa. Mtu akionyesha kukujali hata kwa sms tu, appreciate back, mpe ratiba yako ajue mda gani mnaweza kuongea..
..kuna namna mkiandika hivi ni kama sisi tunajigonga sana kweny(sie wenye mapenzi ya kukabana)
Binafsi sielewi Kwa Nini mtu anakasirika akipewa attention na bby wake🤣🤣🤣🤣mi napenda mapenzi ya mawasiliano Kwa sababu Nina experience ya mapenzi ya kutojuana ratiba yanakufaga natural death.....Kikubwa ni kujua ratiba za mwenzio basi
 
Lejend, haya ni maneno tu ya karatasi. Mapenzi bila mawasiliano ya kila siku ni uongo, huyu huyu akiachwa siku nzima bila kutafutwa ataanza lawama.
..kuna wakati tunataka space ili tufanye uhuni tu sio kingine. Na uzee wangu bado napenda visms vya mahaba🤣
 
Hii ya kutumiana text kila mda ndio inakera. Sometimes unaona bora upotezee usijibu uendelee na mishe zako. Usipojibu kwa wakati unaulizwa "Au uko bize unachat na wadada wengine!"... Mtu kila wakati anawaza " negatives" tu arrgh!!!
Huu upuuzi ulinishinda kwa kweli,yaani mwisho akasema simjali jamaaani akasepa na 180
 
Lejend, haya ni maneno tu ya karatasi. Mapenzi bila mawasiliano ya kila siku ni uongo, huyu huyu akiachwa siku nzima bila kutafutwa ataanza lawama.
..kuna wakati tunataka space ili tufanye uhuni tu sio kingine. Na uzee wangu bado napenda visms vya mahaba🤣
visiwe kila muda sasa utafikiri ni vya Tigo bana too much is harmful mzee
 
Lejend, haya ni maneno tu ya karatasi. Mapenzi bila mawasiliano ya kila siku ni uongo, huyu huyu akiachwa siku nzima bila kutafutwa ataanza lawama.
..kuna wakati tunataka space ili tufanye uhuni tu sio kingine. Na uzee wangu bado napenda visms vya mahaba🤣
Kweli kabisa,,,yaani eti niwe na mpenzi hujui kaamkia wapi? anaendeleaje,ana ratiba gani, jamani hiyo sio maana ya mapenzi.....Mimi sikasiriki hata mara Moja nikipata simu ya nimpendae hata kidogo! kwanza napata zile feeling za Upendo.... anyway tumetofautiana
 
asubuhi umeamkaje darling,jioni umeshindaje honey,that good sasa mtu kila baada ya dk 5 yumo tena anajua upo kazini huu ni unazi
 
Hapa ndio tunasema tuwe na boundaries.....sio tu lazima asubuhi na jioni,na Huwezi sema uko busy muda wooote Ina maana Huwezi kupata dakika 3mida ya lunch ukamsemesha kidogo mwenzio?au katext ka kichokozi tu....ndio maana Mapenzi ya kibongo tunasalitiana sana...hatuna bond
 
Binafsi sielewi Kwa Nini mtu anakasirika akipewa attention na bby wake🤣🤣🤣🤣mi napenda mapenzi ya mawasiliano Kwa sababu Nina experience ya mapenzi ya kutojuana ratiba yanakufaga natural death.....Kikubwa ni kujua ratiba za mwenzio basi
Kuna normal attention ile ya kujali na sio ile ya usumbufu mtu akuelewi ukimwambia upo na kazi ni shida anataka mtafutane mda wote kama pesa, hata pesa kuna muda tunapumzika kuzitafuta.
 
Hapa ndio tunasema tuwe na boundaries.....sio tu lazima asubuhi na jioni,na Huwezi sema uko busy muda wooote Ina maana Huwezi kupata dakika 3mida ya lunch ukamsemesha kidogo mwenzio?au katext ka kichokozi tu....ndio maana Mapenzi ya kibongo tunasalitiana sana...hatuna bond
wengi hawajui wanataka nini,mimi kwa upande wangu ni kwamba nikiwa kwenye majukumu yangu simu haina nafasi unless ni ya mambo ya kazi,tuma smms nitajibu ile yenye logic the rest naziacha na simu huwa sipokei.nje ya majukumu ndio narejea huko,Bond ni desire na understandability kati ya mtu na mtu ukielewa mtu ni wa aina gani,anamisingi gani,hulka gani kamwe huwezi kuwa na wasiwasi ila ukiwa kichwa maji kumuelewa mtu ndio taabu,kabla hujakubali kudate na mtu msome kwanza anapenda nini,hapendi nini,ana misimamo gani na hulka gani kisha jiulize utaendana nazo?
 
Back
Top Bottom