Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ukiwa katika ndoa usipoona msg hata moja ya mkeo au mumeo ndio utaelewa kuwa Mume au mke yuko busy Na sidechick huko nje.huku katika mahusiano watu huchukulia rahis sana.ngoja Hii Ngoma iwe kinyume nyume chakee

Ni kweli ila mazoea hujenga tabia… ukizoea kwenye mahusiano mpnz wako ni wa hivi basi sio ngumu… ubaya ni kuwa wengi wanadhani mtu hubadilika akioa au kuolewa…

Kuna wakati pia unaweza kuhisi hivyo kuwa yupo bize na mchepuko but reaction yako ndio itakayotafsiri tofauti kwa
Mwenza… mimi pia huwa nawazaga hivyo kama hatujaongea siku nzima tena na nuna hata akinipigia wakati mwingine sipokei najipa muda wa kutoa kinyongo then nampigia mwwnyewe uzurii anajua kama amekosea so kabla sijaongea ananiwahii kujielezea na mimi simlaumu et hujanitafuta sijui nini

Mpnz wangu wa kwanza nilimpoteza kwa tabia kama hizo za lawama… so tujifunzee kutawala hisia zetu sio kila kitu unakurupukaa
 
Mwengine sio kwamba ni wivu Ila ile misarakasi unayompa kunako sitamarasita

Mwanaume ukianza kuwa hivyo ndio mwanzo wa dharau… mwanaume hutakiwi kutabirikaa

Kuna kale katabia nilikuwa nako nikipiga simu inatumika basi nataka kujua alikuwa anaongea nae jamn kumbe inakeraa basii hadi leo ukitumika masaa 3 siulizu ulokuw unaongea nae
 
Mwanaume ukianza kuwa hivyo ndio mwanzo wa dharau… mwanaume hutakiwi kutabirikaa

Kuna kale katabia nilikuwa nako nikipiga simu inatumika basi nataka kujua alikuwa anaongea nae jamn kumbe inakeraa basii hadi leo ukitumika masaa 3 siulizu ulokuw unaongea nae
Sasa unauliza ili iweje alafu aliekwambia mwanaume anaulizwa ulikua unaongea na nani ni nani? Siulizwi na chakula Cha usiku napewa tena najaziwa hadi juu
 
Back
Top Bottom