mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Naomba nikung'ang'anie[emoji41]
Haha utanilaani bure Mimi wa type hiyo si wataki, maana jamaa alianza hadi kunitishia maishaa… na kwa akil zake yule anaweza jiua na yeye….
Mimi bado mdogo sitaki kufa mapemaa kisa penzi