Ifikie hatua tuachiane nafasi

Ifikie hatua tuachiane nafasi

Usinibane, usiniache huru. Mahusiano yako complicated sana, wewe unayesema usubanwe leo akikaa 2days bila kukucheki utaanza lawama.

Know your boundaries, mjifunze mwenzako utaona vile mambo yanaenda poa.
 
Back
Top Bottom